Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Wengine ni majini, kuwa makini
 
Ana bahati mbaya nimestaafu kila kitu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Sio ubin-Adam huo Malaika… hebu naomba unipe japo dakika 1 ya ukimya usikie vile injini ya uhai wangu inavyodundadunda kwa huba lako ambalo sitegemei nalipata lini mtoto wa mwanamke mwenzako 😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…