Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Dogo angalia mi sicheki na wowote... Sipendi mazoea na nyie wabongo maana mshanitapeli sana napowatumia pesa huko kwenu. Mi mstaarabu sana siku hizi zaman ngekuwa nshampasua pasua huyu mtoa mada kama ni demu nshamgegeda tayari.
Upo nchi gani kiongozi?
 
Labda ulimtuma huyo jamaa yako aje kukutetea maana niliona mtu akilalamika kuwa umebaniwa kimakosa 😀.

Humu ndani nina marafiki 4 ambao hatujawahi onana ila imetokea tunagombana na baadaye we become friends. Siamini sana katika uadui. Wengine walikuja jifunza mimi ni mtu wa namna gani kadri walivyoendelea kuchat nami. So mwingine anaweza sema NIMEONA UMEPIGWA BAN SHIDA NINI? Au kwenye magroup pia watauliza mbona umekuwa removed why? Ipo hivyo. Mfano sikuwa nakumbuka kama tumewahi gombana mimi na wewe. But leo tunajibishana kistaarabu kabisa namna hii.
 
Amani itawale mkuu.
Wana JF ni familia Moja.
 
Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito

Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.

MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.

Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.

Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.

Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40

Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.

Umeona nmetulia zangu nakula bata kipapiro kinakupwita siyo eeeeh.... Ntakuchapa nao mpaka maji uite mma kigwasu wewe. Mambo ya kujipitisha pitisha mbele ya wanaume wanakuchapa nao na hupewi hata shilling. Kaa kwa kutulia.
 
Back
Top Bottom