MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
namimi namfatilia nione yaliyomo yamo?Yule jamaa sijui. Ila nimeona hata Komeo Lachuma si mzima huyu jamaa
namimi namfatilia nione yaliyomo yamo?Yule jamaa sijui. Ila nimeona hata Komeo Lachuma si mzima huyu jamaa
Bila kuisahau timu yake Chiembe,Tlatlah,Stunex &coKumwona Lucas Mwashambwa anabubujikwa na machozi live🤣
Sasa unaambiwa,ni uso kitabu maana yake unasomeka au mimi sielewi?Nilikamatwaga kiboya coco beach 2014 mwezi 12, na trap km hiz huko facebook
Kwani inashida hiyo jamii?Ww nae ni mmoja wa wasiojulikana?!
Me naona ni kitabu cha kuweka picha(uso]za watu. [emoji23]Sasa unaambiwa,ni uso kitabu maana yake unasomeka au mimi sielewi?
Ukisikia kesi za waliotekwa vyanzo,kama sii uso kitabu,istagrade,laa ni kule tuitani ndiyo visababishi.Me naona ni kitabu cha kuweka picha(uso]za watu. [emoji23]
Hapa hapo humkosi MushaambaNgoja waje 😂
Wa mention niwaone 😎Hapa hapo humkosi Mushaamba
Hakika.. Tena uso wa kitabu ni hatari zaidi..Ukisikia kesi za waliotekwa vyanzo,kama sii uso kitabu,istagrade,laa ni kule tuitani ndiyo visababishi.
Mushaambaa &coWa mention niwaone 😎
Asante mkuu bado tupo, majukumu tu yameongezeka 🙌🏾🙏🏽💪🏾Kuna huyu mkongwe anaitwa Mla Bata miaka ya nyuma alikuwa anatupa sana madini ya kuingia ughaibuni, ukisoma nyuzi zake unaweza ukadhani duniani hakuna shida wala kufa ni Bata tu 😂😂😂, siku hizi kawa adimu sana.
Mimi je!, 🙄Mkuu Minjingu Jingu waite hawa wananijua inn and out ma mkwe@redio
Na mamsapu Its Pancho
😄😄😄😄😄😄
Wa kwetu min -me
Sema nilikutania kwa maneno makali ukaninishitaki kwa mods tukapigwa ban wote baada ya siku kadhaa ukaja na ID nyingine kukata rufaa ukisema Minjingu Jingu hakustahili ban 😂.
Aanze na mimi...Naomba nitajie wasio hazina ya Jf kwenye hiyo list 😀
Hakika..Kwa sasa labda uje usaidizi toka urusi