Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
No reforms no ELECTION 😊Labda waliojikita kwenye michango humu ya kilimo tuu!Hawa wa Siasa tutatekana,!
Tupite mbio mbio 🏃🏃🏃🏃 tusije tekwaaa na kupoteaa
No reforms no ELECTION 😊Labda waliojikita kwenye michango humu ya kilimo tuu!Hawa wa Siasa tutatekana,!
Kweli mkuu,tupite tuu!No reforms no ELECTION 😊
Tupite mbio mbio 🏃🏃🏃🏃 tusije tekwaaa na kupoteaa
Sawa na Ahsante!Sasa huyo anayejikita kwenye kilimo ndiyo huyo huyo mwanasiasa.
Nikupe hii mkuu,
Hapa jukwaani member mmoja ana IDs mbili Hadi tatu,tena walivyo makini si rahisi kuwajua,akiwa jukwaa la siasa ana I'd yake akiwa jukwaa la sports ana I'd yake.
Vile vile kuna watu smart humu ila Wana I'd za kujifanya hamnazo.
Halafu wapo ambao husoma na kufuatilia posts zenu wakiwa hawacomment wala kulike chochote ila akigusws na kitu anatafuta I'd ya kike anakuja jukwaani huku akijifanya mgeni humu. Mkuu usiruhusu kuonana na mtu yeyote na kama ushafanya hivyo Acha mara moja.
Kule X zamani twitter kuna vijana wanne nawajua mwanzo mwisho wanajifanya wapo upinzani,wanaitukana serikali na kila kukicha na watanzania tulivyo akili ndogo tumeungana nao bila kujua.
Be careful mwanakwetu
Maana kwenye kesi ya LISSU Kuna polisi alisema yeye kazi yake ni kufanya DORIA KWENYE MITANDAO MBALI MBALI..Kweli mkuu,tupite tuu!
Niko mzima tu siunajua mishemishe tu za maisha kipindi hikiNiko powaa umeadimika Sana HOMEBOY.
VIPI HUKO MPO POWAA
Mdada au sio? 😂😂 We mgeni sana kumbe@Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa
Kwa sasa wanawake wanatumika kama chambo...kwa watu wanaozungumza SIASAKwa hali ilivyo sasa, ukianza kuulizia location za watu JF, watakuchukulia kama unafanya undercover surveillance. TULIA MKUU MAMBO SIYO MAZURI HUKU KWA GROUND.
Naomba nitajie wasio hazina ya Jf kwenye hiyo list 😀Ngoja uchaguzi upite...
Katika list yako kuna watu ni Hazina za JF, hatutaki wapotee..
Tena wewe uliwahi dokeza kuhusu kuwa uliwahi kuwa na urafiki na jambazi,halafu ni leftshooter wa maana kutokana na matumizi ya mkono wako wa kushoto,mbona utadakwa faster tu uwasaidie manyamwera upelelezi😂Sawa na Ahsante!
Kweli kaka nafurahi kusikia hivyo tupo pamoja Sana brother.Niko mzima tu siunajua mishemishe tu za maisha kipindi hiki
Kwa sasa wanawake wanatumika kama chambo...kwa watu wanaozungumza SIASA