secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Watu walikuwa wananiita ' Fumo liongo' maana nguvu nilizonazo hazina mfano.Mimi nilitisha sio kuogopwa nilitisha mzee, nitakukung'uta kama maharage ya mbeya
Watu walikuwa wananiita ' Fumo liongo' maana nguvu nilizonazo hazina mfano.Mimi nilitisha sio kuogopwa nilitisha mzee, nitakukung'uta kama maharage ya mbeya
Vipi Ponjoro wa Kinondoni je?Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
Hahaha 😂😂 😂.Una uhakika hutaki kukutana na secretarybird ?? 😂
Muulize mzee shoo kimodoi ni nani ntakudunda oohooWatu walikuwa wananiita ' Fumo liongo' maana nguvu nilizonazo hazina mfano.
Mkuu mimi ni sugu.Muulize mzee shoo kimodoi ni nani ntakudunda oohoo
It's a trapKomeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
Muulize sanga utata wangu atakujibuMkuu mimi ni sugu.
Nitakufinya nikuumize kama zimwi lisilokujua.
Bora wewe uliyeduwaa, Mimi nilimkimbiza sanga huku nikiwa nimebeba jiwe fatuma eti nataka kumshushia kichwani.Muulize sanga utata wangu atakujibu
Mwanafunzi pekee niliitwa na sanga assembly ikaduwaa kwa muda
Ahahahah mi ni mtu wa to and floo kama pendulum tuu sipo stationary..Nitakutandika mpk unyooke ohoo, mm sio wa mchezo oyaah,
Naam kumbe haupo dsm 🤔 Juzi ulkuwa unanipanga ausio, we sema me nakuskiza
Ntakudunda oohoo mpk uvirie damu, afu nikuuguzeAhahahah mi ni mtu wa to and floo kama pendulum tuu sipo stationary..
Ila kwa kuwa kuna ishu ya kuchapana aisee nipo radhi nikuje huko chap lazima tuoneshane uwezo hapa
Muulize vishu ...Ntakudunda oohoo mpk uvirie damu, afu nikuuguze
Hahaha! Tupatie stori kamili ndugu tebenga tujifunzeNilikamatwaga kiboya coco beach 2014 mwezi 12, na trap km hiz huko facebook
Usalama wako binafsi juu ya mwili wako, nikukutesa mpk ukiona I'd yangu upate traumaMuulize vishu ...
Siku tunaonana akaja kutoa uzi humu et ""ishi na watu vizuri kuna wengine ni usalama humu"" tafuta huo.uzi
AHahaha kijana... Fatilia miaka 50 ya uhuru mara moja moja unione basiUsalama wako binafsi juu ya mwili wako, nikukutesa mpk ukiona I'd yangu upate trauma
Ni huko me ntakudunda hutaaminiAHahaha kijana... Fatilia miaka 50 ya uhuru mara moja moja unione basi
Duhh! Kweli mleta mada hakukosea kukuelezea sifa zako 🤦🏾♂️Una shape kali? Una msambwanda? Kama upo unavutia naweza kuja Bongo mwezi ujao nitakuambia nimefikia hotel gani uje. Utume picha yako kwanza nikuone umbo na sura yako kama una vutia au ndo wale mademu sura kama wanakamuliwa jipu matakoni. Umbo uwe nalo nasisitiza.
Kweli mna bifu ndugu zangu au promo tu? 😁😄😄😄🙌🏾Sio uzichape sema nikuchape..
Alafu skia soon naingia dasalam hapo aisee enataka nifanye kitu ambacho jf itakua history hapa