Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
- Thread starter
- #41
Sijakufahamu badoMimi hutaki kuniona?
Sijakufahamu badoMimi hutaki kuniona?
Kaka stor ndefu,tutaharibu uzi..Ilikuaje
Hapana namsoma kama wewe unavyomsoma hapa...nimecheka tuu the way ume mdiscribeKwa nini? Chizi Maarifa mnafahamiana ?
Andika japo kwa kifupi tujifunze tusije kamatika msituone tena jukwaani...Kaka stor ndefu,tutaharibu uzi..
Kikubwa nlitegwa facebook na nikajaa kiboya.. Baada ya kukimbia miez 6 nakuja kukamatwa kama kuku..
Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
Mm ni mtu mAarufu hapa jfSijakufahamu bado
Daah we una shida. Uligongwa kichwani ukiwa mdogo? Mimi ni mwanaume rijali kabisa. We umeona sehemu nmeandika mi mwanamke? Unataka ugomvi kwangu hutopata. Jifunze kuishi vizuri na watu.Una shape kali? Una msambwanda? Kama upo unavutia naweza kuja Bongo mwezi ujao nitakuambia nimefikia hotel gani uje. Utume picha yako kwanza nikuone umbo na sura yako kama una vutia au ndo wale mademu sura kama wanakamuliwa jipu matakoni. Umbo uwe nalo nasisitiza.
Daah we una shida. Uligongwa kichwani ukiwa mdogo? Mimi ni mwanaume rijali kabisa. We umeona sehemu nmeandika mi mwanamke? Unataka ugomvi kwangu hutopata. Jifunze kuishi vizuri na watu.
Unaona unajipia promo kwa akauti yako nyingineKomeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
Nimejaribu kuwapa kwa kifupi, pitia post no. 18Andika japo kwa kifupi tujifunze tusije kamatika msituone tena jukwaani...
Mtekaji tumekushtukia.Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
Kwanini awatafute hao, ikiwa hitaji lake ni kuonana na kuzungumza wewe?Mkuu Minjingu Jingu waite hawa wananijua inn and out ma mkwe@redio
Na mamsapu Its Pancho
😄😄😄😄😄😄
Wa kwetu min -me
Kwahyo unataka nimuachie....Acha kumbania mwenzio.