Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Mkuu, me si mzuri kwenye kuandika.. Ila ngoja nijitahd kidgo kukupa picha.
Kuna jamaa alificha mzgo wake kwny begi langu(bila mimi kufaham) ilikuwa sinza 2014 mwez wa 6. Me nkasepa na begi langu, ndo wakawa wanantafta.. Walikuja kunipata 2014 mwez wa 12, baada ya mtoto mzuri wa facebook kunipa sifa kedekede na kutaka tuonane coco beach..
😆😆 we ukaona aah mbona maini kabisa hii ngoja nkaitawanywe mara paaah ukakutana na njemba zikakuweka mtu kati..

ulichomokaje kwenye hicho kizahazaha
 
Back
Top Bottom