MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
HAHAHAHAHA ! NIMEIPENDA YA MCHIZI MAARIFA MZEE WA MAKOVU.
Tunakutana lini maana niko kamiligado ile mbaya.
Anakuzidi wewe mwanadada kama Nour’ul Ayn kutoka Sinza 🤩😍🤤😋🙈?!?!Kalpana ni dada mrembo sana katulia, tofauti na makeke yake humu. Mtani utanisamehe natoa siri za kambi 😅😅😅😅
Mimi huwa ni mzee wa KO.Naomba niwe promoter wa pambano… inaitwa “NO WAY OUT” mtu tatu ulingoni, ebana ngoja tufanye booking SUPERDOME MASAKI” mapema sana!
Oya… Mko serious washkaji?Nitakutandika mpk unyooke ohoo, mm sio wa mchezo oyaah,
Naam kumbe haupo dsm 🤔 Juzi ulkuwa unanipanga ausio, we sema me nakuskiza
Ndiyo mkuu serious huyu dogo jau ntamtandika Tena kwa fimbo sio ngumi Hana mwili wa ngumi wala kofiOya… Mko serious washkaji?
Mpo serious washkaji au mnazinguana tu?Mimi huwa ni mzee wa KO.
Sina maneno ya kwenye kanga kama mandonga.
Duhh! 😢🙌🏾Ndiyo mkuu serious huyu dogo jau ntamtandika Tena kwa fimbo sio ngumi Hana mwili wa ngumi wala kofi
Tuko siriaz kabisa, labda Monetary doctor anikimbie kisa wasifu wangu ulioshiba.Mpo serious washkaji au mnazinguana tu?
Duhh! Kweli mleta mada hakukosea kukuelezea sifa zako 🤦🏾♂️
Hautaki kumuona The charismatic fella, the one and only Genta?
Una miaka mingapi?
Halafu kipindi fulani wewe ulinisababishia ban hivyo naomba tukutane uso kwa uso nikuadhibu vikali 😎.
😂😂😂😂 hujawai kumuona kwenye vita ya kobazi, utacheka ufe
Asante ndugu kwa compliment.. Napokea kwa moyo wa shukrani🙏🏿🙏🏿🙏🏿
On serious note huwa namfananisha Ma Mshuza na huyu mama hapa! Ila kwa vyovyote iwavyo huyu ni mtu wa TangaView attachment 3375886
Kwa sasa labda uje usaidizi toka urusiNilikamatwaga kiboya coco beach 2014 mwezi 12, na trap km hiz huko facebook
Yule jamaa sijui. Ila nimeona hata Komeo Lachuma si mzima huyu jamaaHAHAHAHAHA ! NIMEIPENDA YA MCHIZI MAARIFA MZEE WA MAKOVU.
Bila kusahau mbuzi choma kwa machetesecretarybird niko nae hapa kwa mromboo, tunapata mbege karibu.