Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Unaachaje..Bila kusahau mbuzi choma kwa machete

😂😂😂😂Mkuu Minjingu Jingu waite hawa wananijua inn and out ma mkwe@redio
Na mamsapu Its Pancho
😄😄😄😄😄😄
Wa kwetu min -me
Usiniwaze jombaTuko siriaz kabisa, labda Monetary doctor anikimbie kisa wasifu wangu ulioshiba.
Msije mkamteka Mshana Jr. Maana chawa wa mama mmechachawa vibaya sana!Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
Yule jamaa sijui. Ila nimeona hata Komeo Lachuma si mzima huyu jamaa
Sema nilikutania kwa maneno makali ukaninishitaki kwa mods tukapigwa ban wote baada ya siku kadhaa ukaja na ID nyingine kukata rufaa ukisema Minjingu Jingu hakustahili ban 😂.Kheeee....mimi tena?ilikuaje?sheikh wangu mimi si mtu wa ugomvi kabisa. Nawajua wasababisha ban na wapigwa ban maarufu humu ndani wakiwemo wawili ambao nimewataja.sidhani kama.wanamaliza.mwezi. wewe ilikuaje?unataka nikuadhibie maeneo ya karibu na wapi?
Naona umeshaingiwa na mchecheto na u mbioni kutokomea kusikojulikana ili nisikuharibu uso.Usiniwaze jomba
Simzidi walaiii...huyo ni motoAnakuzidi wewe mwanadada kama Nour’ul Ayn kutoka Sinza 🤩😍🤤😋🙈?!?!
Mtoto kama huendagi haja 😅🙌🏾
Mwashambwa wawapi anatoa machozi kila dakika maana watu wa ukanda wa Songwe kutoa machozi ni wagumu kama mamba..Kumwona Lucas Mwashambwa anabubujikwa na machozi live🤣
Pascal Mayalla Mimi namwita Kim jong Un kutokana na style yake ya unyoaji.Pia namkubali sana Pascal Mayalla huyu jamaa japo mnamuona jinsi mnavyomuoa ila ana akili sana. Namuheshimu sana
Nina roho mbaya km mama wa kamboNaona umeshaingiwa na mchecheto na u mbioni kutokomea kusikojulikana ili nisikuharibu uso.
Mkuu acha kunitishia huku unakimbia mbele yangu.Nina roho mbaya km mama wa kambo
Hutamani Kumuona Lucas Mwashambwa?Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
Mi nataka nionane na Lukas mwashambaKomeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
Aripotiye kwa Gorge au?Afisa Doria Mtandaoni
Je vipi na Cutelove?Hutamani Kumuona Lucas Mwashambwa?