Hiyo idara inahitaji kubadilisha mfumo wote ,kuwe na idara inayoshghulikia mambo ya ndani ya nchi na idara inayoshughulikia mambo ya nje ya ichi ,hizi idara ziwe zinajitegemea
Utangulizi
Upotevu na uharibifu wa rasilimari za nchi ni mkubwa sana kiasi kwamba wachina wamefikia hatua ya kutorosha hadi kobe kupeleka kwao. Kwa ufupi ni kwamba biashara za magendo juu ya rasilimali za nchi ni mkubwa sana.
Hapo awali hawa jamaa kazi yao ilikuwa tu kuidhibiti chadema isiweze kuharibu Uhai wa chama tawala lakini leo hii Rais mteule anaibua madudu mengi sana ili hali TISS wapo.
Kwa ufupi binafsi TISS nao ni JIPU linahitaji kutumbuliwa.
Mkuu mimi huwa najua tu kuwa ni kumlinda Rais pamoja na kuidhibiti chadema

Uncleben wewe ni mchangiaji makini najua. . . . .Hebu jipe muda fuatilia kidogo hili jambo hususan hilo la idara. . . Pitia katiba kidogo na sheria husika
Ukiweka siasa pembeni utaona mengi zaid
Utangulizi
Upotevu na uharibifu wa rasilimari za nchi ni mkubwa sana kiasi kwamba wachina wamefikia hatua ya kutorosha hadi kobe kupeleka kwao. Kwa ufupi ni kwamba biashara za magendo juu ya rasilimali za nchi ni mkubwa sana.
Hapo awali hawa jamaa kazi yao ilikuwa tu kuidhibiti chadema isiweze kuharibu Uhai wa chama tawala lakini leo hii Rais mteule anaibua madudu mengi sana ili hali TISS wapo.
?
Kwa ufupi binafsi TISS nao ni JIPU linahitaji kutumbuliwa.
Tayari hizo idara zipo....
Mkuu mimi huwa najua tu kuwa ni kumlinda Rais pamoja na kuidhibiti chadema
Kwa minajili ya jina tu huwezi kupunguza majukumu sababu majukumu yanaongezeka na kubadilika kadri asili ya "vivunja" usalama vinayobadilika na kuongezeka. . . .Ki ukweli mkuu sio kwamba nawabeza ni kazi kubwa wanayoifanya ndio muda Muafuka sheria na katiba kupitiwa na kubadilishwa ili kuweza kujenga mfumo mpya kuwapunguzia majukumu yote ya nchi Kwa mfano MI5 na MI6 na kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa zaidi kama walivyo unda kitengo cha FIU