Msaada: Nini sababu ya uke kukauka wakati wa kufanya mapenzi?

Msaada: Nini sababu ya uke kukauka wakati wa kufanya mapenzi?

Kwanza chunguza manzi yako Kama Haina madeni ya kikoba! Maana madeni na utelezi ni maadui
2. Kama anatumia uzazi wa mpango na ukimkataa hiyo ni moja ya side effect
3.Inawezekana humuandai vizuri hujajua genye zake zinapatikana uchochoro upi
4. Inaweza ikawa hakupendi yaani HUPENDWI
 
Naona Wenye Vibamia, na wale wanaokojoa kabla ya Kumaliza Dakika 3 wanamshukia mtoa mada.

How come wao wanatafuta Tiba ya Kumaliza kabla Dakika 3....
Hafu Kuna mtu huko, kwake kumaliza hata Dakika 20 si tatizo.

Kinachowakera ni kwamba akifika Dakika ya 10, Mzigo unakua Mkavu, anaulizia Dawa...!

Hii ndo imewakasirisha, mpaka wakaanza kuuliza kama ni ME ama KE, na ni Bora angekua hata KE, ingejulikana anatafuta suruhu ya matatizo yake, walivyoambiwa mtoa mada ni ME, ndo wakaona WAMEDHARAULIWA.
 
usitumie mate, juyo manzi wako ana k kavu so inabidi ale vitu vya kumsaidia apate ute ili asiwe mkavu
apendelee kula mananasi, mabamia kama ataeza, matikiti, karafuu, mdalasini, tangawizi na asali asikose ila pia mtindi akiweza

na kwakua ana k kavu achaneni na feni wakati wa tendo
 
Back
Top Bottom