Msaada: Nini sababu ya uke kukauka wakati wa kufanya mapenzi?

Msaada: Nini sababu ya uke kukauka wakati wa kufanya mapenzi?

Nimecheka mnooo...ndo maana wanasema ili umuwin mwanamke hakikisha una iwin kwanza saikolojia yake..yani ss akili ndo kila kitu ikishavurugika kote kunavurugwa...๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Wawashikilie vizuri wanaowapa kwa mashamsham huku kwingine ni mivurugiko huo utelezi utatafutwa kila kona hautapatikana, kuna kazini, biashara, michepuko ya mume, ex nao wako hapo, kausha damu, ......
 
Ukitufatilia huwa tunasema ukweli...kwa sbb tumeyaishi tunayajua na tunawaelimisha wadogo zetu wakiume na wa kike.....๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Safi sana! In fact kwetu wazoefu ukikuta ni kukavu, unawacha maana unajua huyu leo hanifeel. Na mwanamke akifika kitandani akadai amechoka leo, unajua hapa hakuna kitu.
 
Asante mkuu, akae na mwanamke wake ampe uhuru amueleze kinachomsumbua tu au apige chini atafute chimbo lingine, hizo bamia sijui mafuta mate ni suluhisho la muda mfupi na mengine yana madhara
Hapo nakukatalia, utaacha wangapi? Huwa tunajitahidi kutafuta zuri la mwenza ili na akili iwe kwake
 
Hiyo mbinu haifanyi kazi kwa wanawake wote,,, na si mara zote wanawake wengi tuko complicated sana kwwnye ngono tuna tuvitu twiiiiingi kikipungua kimoja mood inapotea

Demu asiesumbua kwenye sex muwashikilie vizuri
Kama unavyosema, kinachofaa kwa huyu kwa yule hakifai. Basi mtu akiwa na mtuwe waambiane wapi panampa nyege, kukaa kimya kunamfanya mwanaume awe mgunduzi badala ya mfanya ngono๐Ÿคฃ
 
Kabisa yani hatufanani vibe na vibe letu linabadilika kutokana na matukio, wengine utelezi ni kipengele, wengine mpaka aguswe pahala ndo utashuka wengine ukibofya tu mambo mteremko
atapoteza muda dogo awe na ujasiri wa kununua ky pharmacy atumie kwenye zoezi rake ra mapenzi mubashara
 
Safi sana! In fact kwetu wazoefu ukikuta ni kukavu, unawacha maana unajua huyu leo hanifeel. Na mwanamke akifika kitandani akadai amechoka leo, unajua hapa hakuna kitu.
Kama ni wako akisema amechoka hakikisha unamuweka sawa mpaka akupe sometimes tunasemaga hivyo ili mtudekeshe
 
Kama unavyosema, kinachofaa kwa huyu kwa yule hakifai. Basi mtu akiwa na mtuwe waambiane wapi panampa nyege, kukaa kimya kunamfanya mwanaume awe mgunduzi badala ya mfanya ngono๐Ÿคฃ
Wakati mwingine hata nyie wanaume mnakuwa ni sababu ya wao kutosema
 
Back
Top Bottom