Msaada: Nipo Dar es salaam jamani

Msaada: Nipo Dar es salaam jamani

Akifika Mkuu wa Mkoa anakuwa kakuwakilisha hapo wewe agiza kandoro tu upoze kiu.
 
Kuna jengo flani hivi, huwa nikipita pale natamani kufumba macho sema naogopa ajali wakati mwingine ili nifike nkurumah naona bora nizungukie bibi titi, maktaba,sokoine, relini ndo nifike Nkrumah kuliko kukatishia Lumumba.
 
Mimi ni mchambuzi nguli wa soka duniani lakini cha ajabu sijui chochote kuhusu Lionel Messi wala Christiano Ronaldo. NIMEKUWA NIKISIKIA TU MAJINA YAO.
 
laki tano kwa siku moja i mean masaa kumi na mbili, maji na korosho na nunua mimi.. kama unakunywa pombea nanunua mizinga miwili ya konyagi.. nitanunua kuku nitamchomea nyumbani nakuja naye ...
Naomba iwe 24hrs ili ulale kabisa.
 
laki tano kwa siku moja i mean masaa kumi na mbili, maji na korosho na nunua mimi.. kama unakunywa pombea nanunua mizinga miwili ya konyagi.. nitanunua kuku nitamchomea nyumbani nakuja naye ...
Kwanini usimfanyie masaa 24 ili akaona na manthari ya usiku
 
Back
Top Bottom