Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,273
Wanajamvi, mimi ni mtu wa kyela miaka 2 iliopita nilipost kuomba msaada wa ngao ya gari(locally made) na nilipata msaada toka kwenu.
Leo nina shida ya vifaa vya umeme hasa taa za kisasa, eg security light, taa za sebuleni zenye quality na bei iwe nafuu kabisa. Nipo maeneo ya kariakoo bei ninayoona ni sawa na za nikoani. Naomba kuwakilisha.
Malafiale. Kyela, Mbeya tz