Msaada: Nipo Kariakoo nahitaji duka zuri la vifaa vya umeme

Msaada: Nipo Kariakoo nahitaji duka zuri la vifaa vya umeme

sasa wewe na Manyerere Jackton nani anaongea kweli, mbona mnatuchanganya wakuu??

Mimi nilikwenda kwa agent muingizaji wa bidhaa za tronic anaitwa CASH SALE STORE yuko barabara ya morogoro road city centre, nikaona na mhindi muhusika wa mizigo ya kuuza jumla kaniambia bei zao kwao kwa level ya duka langu lililopo mtaani ni kubwa na kanielekeza niende kariakoo kwa watu wanaowasupply, mfano mdogo ukiend pale exatension cable 6 way ya tronic ni 14,000, lakini ukienda kariakoo ni 12,500 zote hizo bei za jumla na kuna bidhaa zingine nyingi ambazo siwezi orodhesha zote hapa.
 
Last edited by a moderator:
Nenda hapo mtaa gogo na narung'ombe kariakoo, maduka ya bei nzuri ni za jumla uliza duka la kadege- kays au duka la kitenge hayo mawili watakuuziaa bei nzuri za jumla.Mi ndio huwa nafunga mzigo kwao.wengine bei juu. Usiende tronic city centre bei zao za jumla ni kubwa.

kijana13 nimekupm kk bt no response naomb unichek kwa no hizi0769906359
 
Ndugu Yangu, usidanganywe. Duka LA maana Tanzania nzima Kwa vifaa halisi na bei halali no TRONiC. Lipo Barbara ya bagamoyo Kule city center. Hats kariakoo wengi wanatoa kwake na kuwakamua wanunuzi. Nilipigwa bei kariakoo lakini baada ya kuwajua hawa tronic ni kama nimeokoka au kusilimu. Nenda utaamini maneno Yangu.
Ni wapi lilipo Hilo chimbo mbona nimetafuta sijalipata
 
Back
Top Bottom