Acha uvivu tembelea mwenyewe kwenye hayo maduka ya vifaa vya umeme kisha linganisha bei na quality, vinginevyo utaibiwa, ushauri 2 lakini.
Ndugu Yangu, usidanganywe. Duka LA maana Tanzania nzima Kwa vifaa halisi na bei halali no TRONiC. Lipo Barbara ya bagamoyo Kule city center. Hats kariakoo wengi wanatoa kwake na kuwakamua wanunuzi. Nilipigwa bei kariakoo lakini baada ya kuwajua hawa tronic ni kama nimeokoka au kusilimu. Nenda utaamini maneno Yangu.
Barabara ya morogoro au bagamoyo?
Nenda hapo mtaa gogo na narung'ombe kariakoo, maduka ya bei nzuri ni za jumla uliza duka la kadege- kays au duka la kitenge hayo mawili watakuuziaa bei nzuri za jumla.Mi ndio huwa nafunga mzigo kwao.wengine bei juu. Usiende tronic city centre bei zao za jumla ni kubwa.
sasa wewe na Manyerere Jackton nani anaongea kweli, mbona mnatuchanganya wakuu??
Hawa Tronic location yao exactly ni wapi? Morogoro Road point gani haswa
Its ok, nitajaribu kuwatembelea wote nione. Hasa nahitaji taa za sebuleni za kisasa kabisa, taa za security usiku, taa za urembo kwenye veranda za nyumba, rolla za cable za umeme, nk.
Sure, thanks hope wana bei nzuri.