sasa wewe na Manyerere Jackton nani anaongea kweli, mbona mnatuchanganya wakuu??
Oooh shit; samahani. Usahihi ni barabara ya Morogoro.
Nenda hapo mtaa gogo na narung'ombe kariakoo, maduka ya bei nzuri ni za jumla uliza duka la kadege- kays au duka la kitenge hayo mawili watakuuziaa bei nzuri za jumla.Mi ndio huwa nafunga mzigo kwao.wengine bei juu. Usiende tronic city centre bei zao za jumla ni kubwa.
Ni wapi lilipo Hilo chimbo mbona nimetafuta sijalipataNdugu Yangu, usidanganywe. Duka LA maana Tanzania nzima Kwa vifaa halisi na bei halali no TRONiC. Lipo Barbara ya bagamoyo Kule city center. Hats kariakoo wengi wanatoa kwake na kuwakamua wanunuzi. Nilipigwa bei kariakoo lakini baada ya kuwajua hawa tronic ni kama nimeokoka au kusilimu. Nenda utaamini maneno Yangu.