Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

Nadhani siku za hatari kwa mkewe ni siku akimfumania kwamba ana mchepuko pembeni! Itakuwa hatari si kwake tu bali hata kwa mchepuko na mazingira walimokutwa kwa ujumla!
Hatareee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sky Eclat nisaidie hapa kidogo iyo post ni kama mimi tarehe zinavurugika je, kwa umakini ata tarehe zikivurugika cha msingi ile navyoanza si ndio iwe tarehe 1 kwangu so naanza kuhesabu kuanzia apo hadi siku 14. sasa apo tarehe za hatar zinakuwa siku ngapi???
 
Kuanzia siku ya 11 mpaka ya 18 ni danger days kwako
 
h
Hivi haiwezekani mwanamke kuangukia katika tarehe moja kila mwezi?, mfano anaingia kila tarehe 10 ya kila mwezi , afu ukisoma kwenye mitandao wanakwambia katika siku yake ile ya hatari unaadd siku tatu mbele na siku tatu nyuma, kuna ukweli?
uwezi kwa kua kuna mwezi mkubwa na mdogo, vyakula, haliya hewa, mstuko nazo zinabadili
 
Haijalishi ni mzunguko wa 25,28,35 wala 42?
ndio ata mimi najua ivyo hii inasaidia kwa kua kuna mabadiliko mala kwa mara cha msingi aanze kuhesabu 1 pale anapoanza kuona ukifuata tarehe ndio hapoo inakuwa shida maana hii hata mimi hunitokea
 
ndio ata mimi najua ivyo hii inasaidia kwa kua kuna mabadiliko mala kwa mara cha msingi aanze kuhesabu 1 pale anapoanza kuona ukifuata tarehe ndio hapoo inakuwa shida maana hii hata mimi hunitokea
Thanks sana mkuu, manake wewe na sky eclat ndo mmenipa majibu sahihi, hakika mmenifungua sana, mimi nilikuwa najua hadi leo tunahesabu siku za hatari kutokana na mzunguko wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…