Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Hatareee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani siku za hatari kwa mkewe ni siku akimfumania kwamba ana mchepuko pembeni! Itakuwa hatari si kwake tu bali hata kwa mchepuko na mazingira walimokutwa kwa ujumla!