Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

sasa mkuu huoni kwenye suala zima la kujifungua upo na assistance za hormone kadhaa na kadhaa ambazo zinarahisisha shughuli nzima🙂🙂
Sio rahisi mkuu ukumbuke Hii tulipewa km adhabu baada ya kuasi kwny bustan ya eden, very complicated kuna wanaoiacha dunia na maraha yake ajili ya uzazi, halafu ww unaniambia unipige mimba nizae usepe huyo mtt analelewaje sasa??
 
Cha msingi ujue siku anayoanza mp yake na kumaliza. But note siku ya kuanzia ya 13-17 good day kupata mimba.
 
Mods sijawaomba mnibadilishie title ila mmenibadilishia, mkiombwa mbadilishe title huwa hamkubali.
 
Mkuu kama nimekunote vizuri umesema siku za hivi Karibuni ndo siku zimefurugika it means hapo Mwanzo alikuwa na mzunguko wa kawaida. Kama hivyo ndivyo basi itakuwa ni kutokana na sababu nilizokutajia hapo ila akibalance hivyo vitu basi na siku zake zitarejea kama kawaida.
Sasa kwa siku hizi za hivi karibuni, ambazo ni randomly tutahesabu vipi mkuu siku za hatari?
 
Mods sijawaomba mnibadilishie title ila mmenibadilishia, mkiombwa mbadilishe title huwa hamkubali.
Kwani heading ya "SIKU ZA HATARI" ilikua na shida gani jamaa wajaichenji? Hatari sana? [emoji40][emoji40][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kwani heading ya "SIKU ZA HATARI" ilikua na shida gani jamaa wajaichenji? Hatari sana? [emoji40][emoji40][emoji125][emoji125][emoji125]
Nawashangaa mkuu, sikuona tatizo lolote kwenye heading ya mwanzo
 
Kama danger days zinasumbua, ukiwa gegedoni,wazungu weupe wakikaribia kutoa withdraw! Tupia manii nje ya goal
 
Tena huyo ndio kakupoteza zaidi kila mwanamke ana mzunguko wake
Ovulation hutendeka ndani ya saa 48
Na shawaha zina uwezo wa kudumu ukeni hadi siku 5
Huwezi kujua siku za hatari za mwanamke bila kufahamu mzunguko wake ni wa siku ngapi View attachment 592796
Hii ndio sahihi kabisa. Jua mzunguko wake kwanza ndio utaweza kuhesabu ama kutumia kalenda.
Mpeleke Madale halafu shetani atokee, utapata majibu.
 
Back
Top Bottom