Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

Kama danger days zinasumbua, ukiwa gegedoni,wazungu weupe wakikaribia kutoa withdraw! Tupia manii nje ya goal


weeeee hii njia dk aliniambia mara nying huwa inafail !naskia kuna visperms huwa vinashoot kabla ya kukojoa men ! mie imenifanya nikawa na mapacha wa nje kwa njia hizi !mwee
 
Tango hili
 
Mie three to four weeks, huku unavuja damu, maziwa na mtoto anakojoa ni full udobi na kuchoka aisee uzazi sitaki hata kuusikia


ahhahahaa mie mwanagu ana 5yrs yaan nataman kuzaa kababy girl km Mungu akiamua kunipa lakini nikikumbuka safar zangu za mateso hapana !mie nikizaa huwa nakuwa relaxed kias !maana mume anapenda sana watt ananisaidia sana had usiku ila mm neno MIMBA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Yaani hizi siku nataka sana ishu mkuu nikikosa huwa nahisi kupandwa ukichaa seriously ni balaa



ahahahhaha mie ndo huwa nachokaga hapo aisee Mungu huyu !unawaka balaaa !mie mwenyewe nishajigundua nikiona mzuka uko high najua kbs hapa usalama f
 
hupati hata kidg lakini umeze ndan ya masaa72!
Masaa 72 kabla ya siku za hatari?, kama huyu wa kwangu siku zimekuwa randomly hivi sijui atamezaje wakati siku za hatari hazieleweki?
 
weeeee hii njia dk aliniambia mara nying huwa inafail !naskia kuna visperms huwa vinashoot kabla ya kukojoa men ! mie imenifanya nikawa na mapacha wa nje kwa njia hizi !mwee


Yeeeee... MBITIYAZA, kwa lugha yangu yakisukuma ni Fisi Mwekundu.... Tatzo hua mnakosea step, ukihisi wazungu washapiga hodi faster chomoa dushe,limimine Risasi zake nje ya goal, tatzo lenu mnasubiri hadi zile mbegu za kwanza zenye kihere kihere,ambazo hua zinawashwa washwa kutoka mapema kwenye pipe zinakua zishadrop, hapo ndo shida hua inaanza sasa,..... Hii formular hua naitumia sana pindi nisikiapo LEO DANGER,hadi leo hatujawahi pata mtoto ambaye hatujapanga nakujiandaa
 
Ngumu sana hiyo mkuu

Very simple mkuu wangu, sizani kama ni sahihi kutumia condom na mke wako wa ndoa.. Pia haya madawa ya uzazi wa mpango ni mabaya sana, hayafai kabisa... hua yana matatzo yake.....
 
Siku ya Hatari kwa mkeo ni ukiwa huna hela ndohatari sana
 


ohh nadhan hii ni kwa wanaume sasa !maama mie sijui hizo za kwanza huwa zinakualert namna gan !asante kwa maoni
 
Before marriage tulikua tunatumia zile dawa Morning After, au zinaitwa P2 kama sijakosea, aiseeee hizi dawa ni mbaya sana, zilileta matatzo makubwa sana, tangu siku hiyo nilishasema ni marufuku kutumia hizi dawa za uzazi wa mpango. Nitakua na withdraw tu....
 
Masaa 72 kabla ya siku za hatari?, kama huyu wa kwangu siku zimekuwa randomly hivi sijui atamezaje wakati siku za hatari hazieleweki?


huyo atakuwa ana hormonal imbalance nenda hosp !pole
 
ohh nadhan hii ni kwa wanaume sasa !maama mie sijui hizo za kwanza huwa zinakualert namna gan !asante kwa maoni

Jina lako nikutoka kanda ya ziwa?? Hasa Shinyanga,Geita, Simiyu au Mwanza?? Fisi Mwekundu a.k.a MBITIYAZA
 
umeoa lini hiyo muke yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…