Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Kibaha kuna hospital ya Dr Baki ni bingwa wa mifupa atakusaidia
Nenda hospitali ya Consolata Mission Ikonda. Hii ni internation.sithani kama bongo nzima kuna hospitali kama hii.na bei yao ni kawaida sana,inamilikiwa na waitaly,iko full loaded kwa kila kitu.ipo makete
Kweli aisee, aende KIBAHA - Kwa Mathias. Kuna Hospital ya Dr. Baki Inaitwa 'BURERE HOSPITAL', niliwahi kumpeleka Bimkubwa wangu pale, alipata ajali akavunjika mguu. Nilimshuhudia Dr. Baki kwanza akiumalizia kuuvunja, kisha akaanza kupanga vipande vya mifupa kimoja baada ya kingine!. Ilimchukua miezi kama mitano Bimkubwa akapona. Ila Matibabu yake yana Gharama kubwa kidogo. Wataalam wa mifupa nasikia wapo wachache hapa bongo. Unaweza pia kwenda Moshi KCMC, Mbeya na Bugando.
Unayosema ni kweli kabisa na mimi yamenikuta. Mbali ya kutumia pesa znyingi zaidi ya m15 ndugu yangu hakupona na aliishia kutukejeli.Uliingizwa theater?! Kiboko!
Mimi nilimshuhudia akimtapeli ndugu yangu na hajapona mguu hadi leo! Alikamata laki nane za kumfanyia upasuaji upya. Akamuingiza theater akamtoa na POP, kwa madai ameona haina haja ya kumpasua upya. P.O.P kwa laki 8!!!
nilimpeleka ndugu yangu muhu2 kitengo cha mifupa[moi] wananizungusha pesa nimelipa mizunguko kibao mgonjwa hajapata huduma na mm naona bora nitafute hosp nyingine.wana jf kuna uwezekano kwa siku mbili tatu kupata ufumbuzi.nisaidien
Wagonjwa 25 kwa siku jumamosi kwa kairuki ,lazima uwahi mida ya saa kumi alfajiri uwepo......popote pale uendako Dr. Mboya kwenye ishu zinazohusu Mifupa ni mwisho wa matatizo: jamaa ni mtaalamu(ni Daktari Bingwa) haswaaa. Anapatikana MOI na pia unaweza kumpata Kairuki Hosp-Mikocheni(pale huwa ana clinic siku ya J'mosi) kama vipi ni PM nikurushie namba yake ya simu.
Dr. Baki ndo kiboko... utanambia...