Nitafute 0744939000Habari!! Nataka nianze biashara ya mchele toka mbeya, naishi Dar kimara, research ndogo niloifanya wateja mahali nilipo wanataka mchele wa mbeya, nitaanza kuuza rejareja kwanza! ! Msaada ntaupataje unifikie hapa nilipo na mchele ni super tu ndio naohitaji.asanteni
Ndugu yangu usitarajie kuletewa mchele supa. wauzaji wengi wanachanganya mchele supa na vipi na ukiuangalia ni mzuri sana ila haunukii kama inavyostahili wala hauna ladha nzuri. Tabia inafanywa hata na wakulima wenyewe. Hivi unaweza kuamini kuwa kuna wakulima kyela ambao huagiza mchele toka kamsamba?? Kwa hiyo kuwa muangalifu sana na inabidi wewe mwenyewe usimamie kwenye manunuzi.Habari!! Nataka nianze biashara ya mchele toka mbeya, naishi Dar kimara, research ndogo niloifanya wateja mahali nilipo wanataka mchele wa mbeya, nitaanza kuuza rejareja kwanza! ! Msaada ntaupataje unifikie hapa nilipo na mchele ni super tu ndio naohitaji.asanteni
ushauri wangu njoo mwenyewe mbeya ujumue ukiagiza utachanganyiwa na ambao siyo super.. mm nipo mbeya na Nina stoo ya kuhifadhi mpunga na jumua super kabisa then nauza kwa duka yanguHabari!!
Nataka nianze biashara ya mchele toka Mbeya, naishi Dar Kimara. Research ndogo niloifanya wateja mahali nilipo wanataka mchele wa Mbeya, nitaanza kuuza rejareja kwanza.
Msaada, nitaupataje unifikie hapa nilipo na mchele ni super tu ndio ninaohitaji.
Asanteni.
Safiri mpaka mbeya laasivyo utapigwa utaletewa wa pawaga iringa wakwambie wa mbeya[emoji27]Ndugu yangu usitarajie kuletewa mchele supa. wauzaji wengi wanachanganya mchele supa na vipi na ukiuangalia ni mzuri sana ila haunukii kama inavyostahili wala hauna ladha nzuri. Tabia inafanywa hata na wakulima wenyewe. Hivi unaweza kuamini kuwa kuna wakulima kyela ambao huagiza mchele toka kamsamba?? Kwa hiyo kuwa muangalifu sana na inabidi wewe mwenyewe usimamie kwenye manunuzi.