Msaada: Nitapataje mchele toka Mbeya?

Msaada: Nitapataje mchele toka Mbeya?

Aliyeserious kweli anataka mchele super bila longo longo anisms 0766728326. Mimi ntachofanya ni kumuunganisha na boss anayejishughulisha na hiyo biashara, Kwa kukoboa Kwa Machine yake mwenyewe. Huwa anapeleka mzigo dar hadi Zanzibar.
 
Mimi nina mchele mzuri sana kutoka mbeya nauza kwa jumla bei Grade 1= tsh 2000, Grade 2= 1800, Standard= 1600
Nipo Dar es salaam -Kimara conner.
Utapata quantity yoyote unayohitajii.
Contact: 0713424405
 
Habari!!

Nataka nianze biashara ya mchele toka Mbeya, naishi Dar Kimara. Research ndogo niloifanya wateja mahali nilipo wanataka mchele wa Mbeya, nitaanza kuuza rejareja kwanza.

Msaada, nitaupataje unifikie hapa nilipo na mchele ni super tu ndio ninaohitaji.
Asanteni.
Fanya uende mwenyewe unaweza enda kijiji flani kinaitwa ubaruku ni kabla ya mbeya twn huko wanalima na kuuza.
Bei inategemea ni kipindi gani.
Ukitaka unapgiwa mafta kabsa yani unauleta mjini ukiwa tayari unang'aa.
Kusafirisha gunia ni kati ya tshs 5000-7000 kutegemea na gar na kuna kodi ya kijiji kwa gunia ni tshs 300 kama haijapanda.
Kuna ela ya kupakia pamoja na ela ya kamba pia.
Hakikksha wanazidisha kuanzia kg 5 kwa kila gunia la mchele ulionunua pale mashineni.
Sijui una plan gani ila personally nimefanya hii biashara kwa muda wa kama miez minane nikaona natia juhudi nyingi kuliko return ninayopata na nilitia mtaji mkubwa kweli ambao ningeutia sehemu nyingine ningepata faida kubwa zaidi maana mimi nilikuwa nauza jumla kwa wafanyabiashara sokoni.
Niliacha baada ya kusupply tani kadhaa kwa shule flan wakanidhulumu ela yangu mpaka now ni zaidi ya mwaka sijalipwa.
All the best
 
Karibu mim nauza mchele super niko soko la kisutu mawasiliano 0752864009, karbu
 
Mimi nina mchele mzuri sana kutoka mbeya nauza kwa jumla bei Grade 1= tsh 2000, Grade 2= 1800, Standard= 1600
Nipo Dar es salaam -Kimara conner.
Utapata quantity yoyote unayohitajii.
Contact: 0713424405
kwa bei hizo na yeye anaenda kuuza apo apo dar .atapata faida kweli?
 
Nipigie cm Nikupe mchakato wacha mchele faida yk haizidi 200 katika kilo nitafute kwa cm hii 0767 108091
 
Nipigie cm Nikupe mchakato wacha mchele faida yk haizidi 200 katika kilo nitafute kwa cm hii 0767 108091
200 kubwa sana kwenye kilo,,usimkatishe tamaa,,mbna watu wanatokea kweye hyo faida ya sh200

chukulia ana kilo 15000
15000*200=??
tatizo sisi watz tunataka tufanye biashara yenye faida kubwa kama lak 1 hv

mm nafanya hyo biashara ya mchele ninauzoefu nayo na inalipa sana,,
 
Back
Top Bottom