NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hata mi Nataka Michele Nicheki hapo 0657000602
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa saiz mchele super ni sh 30000 hadi 29000 kwa debe la kilo 20Mliopo mbeya mchele super bei gan kwa debe sasahivi?
Weka namba ya sim tuwasilianeKwa wanaouza mchele super wa Mbeya ..., jee naweza kupata kama tani 70 kwa mara moja ...? Na jee, bei hiyo ya jumla itakuwaje ...?
Babu umeambiwa wa mbeya we vp?Upo wa Moro kilo 1400 _15000
DaaaaahBabu umeambiwa wa mbeya we vp?
Unaweza kupata contact me 0713424405Kwa wanaouza mchele super wa Mbeya ..., jee naweza kupata kama tani 70 kwa mara moja ...? Na jee, bei hiyo ya jumla itakuwaje ...?
Fanya uende mwenyewe unaweza enda kijiji flani kinaitwa ubaruku ni kabla ya mbeya twn huko wanalima na kuuza.Habari!!
Nataka nianze biashara ya mchele toka Mbeya, naishi Dar Kimara. Research ndogo niloifanya wateja mahali nilipo wanataka mchele wa Mbeya, nitaanza kuuza rejareja kwanza.
Msaada, nitaupataje unifikie hapa nilipo na mchele ni super tu ndio ninaohitaji.
Asanteni.
kwa bei hizo na yeye anaenda kuuza apo apo dar .atapata faida kweli?Mimi nina mchele mzuri sana kutoka mbeya nauza kwa jumla bei Grade 1= tsh 2000, Grade 2= 1800, Standard= 1600
Nipo Dar es salaam -Kimara conner.
Utapata quantity yoyote unayohitajii.
Contact: 0713424405
200 kubwa sana kwenye kilo,,usimkatishe tamaa,,mbna watu wanatokea kweye hyo faida ya sh200Nipigie cm Nikupe mchakato wacha mchele faida yk haizidi 200 katika kilo nitafute kwa cm hii 0767 108091