Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check alternative yake kwa samsungHii nadhani ni special kwa MTK device chief.
Kama ni muhimu uwe unajiongeza kwa kwenda kwa mafundi ukalipie ufanyiwe kazi yako.Privacy ni muhimu pia chief usiangalie upande wa kutatua tu tatizo.
Kama ni muhimu uwe unajiongeza kwa kwenda kwa mafundi ukalipie ufanyiwe kazi yako.
Sikatai kuwa privacy ni muhimu. Hashaa!!!
Assume umemkuta mtu kakwama mahala, ukaona ni vema umsaidie, halafu yeye anasema. Broo usije kuwa mwizi ukaniibia hapa. Nadhani unaelewa inavyokuwa.
Ndio mkuu...Sina shida na files zako..kama unawasiwasi unaweza kuzificha au ukatumia pc nyingine...
Ameroot simu. Waranty ishakua void labda afanye kuunroot ndiyo awarudishie.