Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

Si kweli, yaan ujenzi wa Gutter uwe sana na ujenzi wa nyumba mpaka lintel? Nakataa
 
Mimi namaliza kabisa hyo shida kikubwa aweke pesa nyumba haitamsumbua tena call or WhatsApp 0757735884
Nilikuwa nazipenda sana nyumba za aina hii hadi nilipojionea kwa ndugu yangu.

Nyumba imeezekwa lakini inavunja sana Pembeni mwa mabati.

Afanyeje ili isivuje?

N.B: Pembeni ukuta umechimbwa ili kuingiza bati na kuzibwa kwa cement ya water proof.
 
Tatizo ni kwamba hatuna mafundi wabobezi wa ujenzi wa hizo nyumba, ndio maana zimegeuka kuwa janga especially upande wa roofing, ila ukipata fundi mtaalamu ni nyumba nzuri sana na hutajuta
Vipi ukuta kipindi hiki haulowi mpaka kutetemeka
 
Nilikuwa nazipenda sana nyumba za aina hii hadi nilipojionea kwa ndugu yangu.

Nyumba imeezekwa lakini inavunja sana Pembeni mwa mabati.

Afanyeje ili isivuje?

N.B: Pembeni ukuta umechimbwa ili kuingiza bati na kuzibwa kwa cement ya water proof.
Aweke turubali mvua zikiisha atafute fundi mzuri arekebishe.

NB: Asisite kunitafuta
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nacheka kama mazuri vile,aunt yangu kaezeka hivyo nyumba nzuri aisee ndani tunakinga maji majaba yanajaa,

Vyumba vyote vinavuja yaani sio kuvuja bali ni kumwagika maji,

Lkn now kaezeka kawaida.
 
Poleni Usicheke, shida watu wengi wanapenda vitu Vizuri halafu wanatumia mafundi kanjanja . Kama utapenda kumsaidia nakupa namba YANGU call au what'sup +255716416599 mpe tutamsaidia .
 
hii kitu nilihuzunika nlipofika kwa brother.., bati alizotumia ni expensive alafu nyumba inavuja kama chujio ya nazi na kuta karibu zote zimelowana maji...
 
hii kitu nilihuzunika nlipofika kwa brother.., bati alizotumia ni expensive alafu nyumba inavuja kama chujio ya nazi na kuta karibu zote zimelowana maji...

Duh aisee, wanasema fundi ndio wazinguaji
 
wanaojenga contemporary solution ya kudumu ya kuvuja kupitia pembeni ya ukuta ni kubandika bati isiyo na mkunjo kuazia kwenye beam ya juu mpaka kwenye slop ya bati... hapo utasahau mambo ya kuvuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…