Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Si kweli, yaan ujenzi wa Gutter uwe sana na ujenzi wa nyumba mpaka lintel? NakataaNa hapa ndipo hoja kuu ilipo. Ujenzi wa nyumba hizi ukizingatia taratibu ni very expensive, Kwanza hata ile ya zege, inapaswa kuweka kwa ratio kali sana na vipimo maalum inayozuia hata tone moja la maji kupenya kwenye hiyo zege, sasa watu wanaweka zege ratio ya kawaida kisha wanapiga eti plasta ratio kali!! Hapo tu washafeli! Ujenzi wa lile gata la zege unaweza gharimu fedha sawa na gharama ya kuinua nyumba kutoka kwenye msingi hadi kwenye lenta kama likijengwa inavyotakiwa.