gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 668
- 898
- Thread starter
-
- #21
Si ingekuwa ina tetemeka mkuu?Check na fundi aangalie,plugs.Kama plugs zipo ok,aangalie kama umeme unaletwa vizuri, kwenye hizo plugs.Vile vile aangalie air filter, inawezekana ime chock .
Unajua katika kurekebisha unaaanza na vitu rahisi..kutetemeka ndio misfiring..?Si ingekuwa ina tetemeka mkuu?
Inaitwa kibati..kacheki uchomaji wa mafta au kaifanyie diagnosis mkuu huenda oxygen sensor imekufa.
Service ya passo ni ghali na hivi vigari vina vipuri ghali sana na engine zake za ovyo nashangaa suzuki carry na engine ndogo ya cc660 na three pistons kinabeba mzigo na kinapiga kazi bila shida lakini passo yenye engine ndo ni cc990 lakini ovyo kabisa niliknunuaga cha piston tatu kwanza engine ina vibrate ukiwa umesimama mpaka bodi unaskia ina vibration halafu hakina nguvu unakanyaga mafta kwa gafla kinasubiri sekunde kadhaa ndo kinaongeza mwendo vigari vya ovyo kweli...
Vilevile kukusaidia vizuri lazima fundi apate history ya gari lako, kuhusu maintenance planning, unafatilia maintenance ya gari yako?kama kubadilisha oil ,every 3000km,kubadili gear box oil every 6000km.kubadilisha/kusafisha air filter, kubadilisha oil filter n.k..Unajua katika kurekebisha unaaanza na vitu rahisi..kutetemeka ndio misfiring..?
Muda mwingine zile coil zinazoleta umeme kwenye plugs kuwa zinakufa,hivyo kufanya plugs kutopokea moto, hivyo kusababisha engine kukosa nguvu..kama vyote nilivyosema umechecheck then unaweza kwenda kwa vitu kama kucheck gear box,na engine yenyewe.
Upo Bi Faiza Asalaam alyekum.Ipeleke gym.
Hapana mkuuUlikuwa una tabia ya kuchelewesha service mkuu..?
Inafanyaje hiyo mkuuClutch plate
Your welcome mamalaiIpeleke gym.
Mkuu du nilikuwa silijui kabisaMagari haya yanayotoka kwa wenzetu, yanakifaa maalumu kimefungwa kwenye exhaust system kwa ajili ya kuchuja exhaust gases ili mazingira yasiharibike.
Kifaa hicho kinaitwa "Catalytic fuel converter" CFC.
Hii ikiziba, huwa inahitaji replacement, lakini kwa bahati mbaya hazipatikani hapa nchini.
Matokeo ya kuziba kwake, exhaust gases hazitoki kwenye combustion chamber na hivyo kupelekea air intake kuwa ndogo.
Ukitaka kujua kama tatizo ni hilo, mwambie mtu aingie kwenye gari, ajaribu kukanyaga mafuta huku ukiwa umeweka mkono kwenye bomba la kutolea moshi ulinganishe msukumo unaotoka kwenye gari yako na ule unaotoka kwenye gari ambayo haina tatizo utagundua tofauti kubwa.
Suluhisho la tatizo hilo, ni kuwaona mafundi wafungue sehemu ya exhaust ambayo ina hiyo CFC, waitoboboe kisha waondoe chujio lililomo ndani ambalo ni kama unganga.
Baada ya hapo wazibe sehemu iliyokatwa na kurejesha kwenye gari.
Rafiki yangu aliyekuwa Harrier alikuwa na tatizo hilo na wiki iliyopita nimemsaidia gari imekuwa mpya.
Gari ikishaondolewa hyo kitu.. 1. Asubuh au ukizima gari kwenye ubaridi ukija iwasha inapiga resi sana ofcoz ili kupandisha joto kwenye engineMagari haya yanayotoka kwa wenzetu, yanakifaa maalumu kimefungwa kwenye exhaust system kwa ajili ya kuchuja exhaust gases ili mazingira yasiharibike.
Kifaa hicho kinaitwa "Catalytic fuel converter" CFC.
Hii ikiziba, huwa inahitaji replacement, lakini kwa bahati mbaya hazipatikani hapa nchini.
Matokeo ya kuziba kwake, exhaust gases hazitoki kwenye combustion chamber na hivyo kupelekea air intake kuwa ndogo.
Ukitaka kujua kama tatizo ni hilo, mwambie mtu aingie kwenye gari, ajaribu kukanyaga mafuta huku ukiwa umeweka mkono kwenye bomba la kutolea moshi ulinganishe msukumo unaotoka kwenye gari yako na ule unaotoka kwenye gari ambayo haina tatizo utagundua tofauti kubwa.
Suluhisho la tatizo hilo, ni kuwaona mafundi wafungue sehemu ya exhaust ambayo ina hiyo CFC, waitoboboe kisha waondoe chujio lililomo ndani ambalo ni kama unganga.
Baada ya hapo wazibe sehemu iliyokatwa na kurejesha kwenye gari.
Rafiki yangu aliyekuwa Harrier alikuwa na tatizo hilo na wiki iliyopita nimemsaidia gari imekuwa mpya.
Mkuu sasa unashauri nisitoe?Gari ikishaondolewa hyo kitu.. 1. Asubuh au ukizima gari kwenye ubaridi ukija iwasha inapiga resi sana ofcoz ili kupandisha joto kwenye engine
2. Moshi unatoka tu hasa asubuhi unapowasha tho huwa unawah kata engine ikishapata moto
3. Muungurumo wa gari unabadilika kina kikelele fulani hv
4. Gari itakua na nguvu vzuri tu
Ungeanza na plugs kwanza(tafuta olugs o. G) ukiona hali haijaimarika itkubd utoa Coz ndo solution iliyopo.. Otherwise maisha yatakuwia ugumu sana.Mk
Mkuu sasa unashauri nisitoe?
Magari ya Dar hayoMagari nayo yameanza kukosa nguvu
Iko vzr sana sio kama lakoMagari ya Dar hayo