Habari za jumapili wanajamii
Nina mwaka sasa toka nimeona hivyo viuvimbe kwenye mrija wa mkojo nimeende hospitali kama mbili wote na kufanya vipimo kutokana na ushauri wa daktari wamesema sio tatizo ila mimi bado na wasiwasi kuwa huweza likawa tatizo.
Japo sipati maumivu yoyote au kutoka kitu chochote kile ila niki gusa hivyo vinyama huwa vinatoa damu
Pia nime jaribu kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuwa tatizo lilianza toka nipo na mpenzi wangu moja hivi ambaye nipo naye kwenye mausiano mwanzo nimewahi kupata muwasho kwenye mrija ila nilienda hospitali wakasema ni UTI ila nilipo pona UTI bado hivyo vinyama vipo baada ya hapo ndo nilijua kujua kuna vinyama vimetokea
Pia nimegundua baada ya kufanya mapenzi na huyo huyo mpenzi wangu nimekuwa na pata tena muwasho kwenye mrija kwa siku kaza ila unaacha tena japo sio mara kwa mara inatokea
Kama juzi nimefanya naye mapenzi nimepata muwasho pia nimeona kama tatizo limeongeza kuliko nilivyo angalia mara ya mwisho
Pia niki kaa muda mrefu bila kufanya naye mapenzi naona hivyo vinyama vinapungua kutoka ila haviishi vyote
Sent using Jamii Forums mobile app