Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

legacy15

Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
19
Reaction score
26
Habari za jumapili wanajamii

Nina mwaka sasa toka nimeona hivyo viuvimbe kwenye mrija wa mkojo nimeende hospitali kama mbili wote na kufanya vipimo kutokana na ushauri wa daktari wamesema sio tatizo ila mimi bado na wasiwasi kuwa huweza likawa tatizo.

Japo sipati maumivu yoyote au kutoka kitu chochote kile ila niki gusa hivyo vinyama huwa vinatoa damu

Pia nime jaribu kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuwa tatizo lilianza toka nipo na mpenzi wangu moja hivi ambaye nipo naye kwenye mausiano mwanzo nimewahi kupata muwasho kwenye mrija ila nilienda hospitali wakasema ni UTI ila nilipo pona UTI bado hivyo vinyama vipo baada ya hapo ndo nilijua kujua kuna vinyama vimetokea

Pia nimegundua baada ya kufanya mapenzi na huyo huyo mpenzi wangu nimekuwa na pata tena muwasho kwenye mrija kwa siku kaza ila unaacha tena japo sio mara kwa mara inatokea

Kama juzi nimefanya naye mapenzi nimepata muwasho pia nimeona kama tatizo limeongeza kuliko nilivyo angalia mara ya mwisho

Pia niki kaa muda mrefu bila kufanya naye mapenzi naona hivyo vinyama vinapungua kutoka ila haviishi vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20190106_035349_5_1546754962670_1546756370728.jpeg
    IMG_20190106_035349_5_1546754962670_1546756370728.jpeg
    23.7 KB · Views: 75
Aisee ebhana eeh kama umenda hospitali wakakwambia akuna tatizo mkuu namaswali haya nakuliza
1)Uyo mpenzi wako ulimpata katika mazingira gani ni??alikuwa mke wa mtu ???hakuwa mke wa mtu ila ulimpokonya mtu???

2)Huyo mpenzi wako ulishawai pima nae magonjwa ya zinaa??

Kama hayo yote ulifanya na hakumkuta na tatizo lolote my friend Nenda upande wa pili nenda kwa wataalamu wa jadi wakuangalie mkuu sio kila anae enda kwa mganga ni mshirikina ni binadamu ndo usababisha yote tembea mkuu tembea...

Nimewahi kupima naye ukimwi tu ila mengine hapana na pia waganga wajadi hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu km una ugonjwa wa zinaa vile, inaweza isiwe ukimwi ila labda syphillis au mengine, jaribu kupima magonjwa ya zinaa, ukimwi sio ugonjwa wa kujionesha wazi so pima magonjwa ya zinaa ndo huwa yapo wazi kuonekana na dalili zinafahamika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jumapili wanajamii

Nina mwaka sasa toka nimeona hivyo viuvimbe kwenye mrija wa mkojo nimeende hospitali kama mbili wote na kufanya vipimo kutokana na ushauri wa daktari wamesema sio tatizo ila mimi bado na wasiwasi kuwa huweza likawa tatizo.

Japo sipati maumivu yoyote au kutoka kitu chochote kile ila niki gusa hivyo vinyama huwa vinatoa damu

Pia nime jaribu kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuwa tatizo lilianza toka nipo na mpenzi wangu moja hivi ambaye nipo naye kwenye mausiano mwanzo nimewahi kupata muwasho kwenye mrija ila nilienda hospitali wakasema ni UTI ila nilipo pona UTI bado hivyo vinyama vipo baada ya hapo ndo nilijua kujua kuna vinyama vimetokea

Pia nimegundua baada ya kufanya mapenzi na huyo huyo mpenzi wangu nimekuwa na pata tena muwasho kwenye mrija kwa siku kaza ila unaacha tena japo sio mara kwa mara inatokea

Kama juzi nimefanya naye mapenzi nimepata muwasho pia nimeona kama tatizo limeongeza kuliko nilivyo angalia mara ya mwisho

Pia niki kaa muda mrefu bila kufanya naye mapenzi naona hivyo vinyama vinapungua kutoka ila haviishi vyote

Naombe msaada kujua tatizo linaweza kuwa nini pia samahani naomba kuambatishia na picha View attachment 987513

Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi kutumia kinga au acha kukutana na huyo mpenzi wako kama unahisi ndiye anakuambukiza mkuu...tafuteni matibabu kwanza wewe na yeye
Hata kama doctor alikwambia havina shida nenda kwa doctor mwingine.. La sivyo atakuwa unaongeza tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema ukikutana kimwili na mpenzi wako tatizo hujirudia...

Ni vyema mkaenda kupima wote na mkapewa ushauri...

Cc: mahondaw
 
legacy15 Kuna magonjwa ya zinaa ambayo huwa inafanya uume unakuwa na uvimbe aidha kwa ndani au kwa nje, mara nyingi kwa nje vinakuwa kama vipele ambavyo vinatoa maji yani vimejaa maji inavitumbua au likichwa linavimba, kuna antibiotic kadhaa nitakuandikia utumie kwa ajili ya magonjwa ya zinaa tuone kama vitapotea, ila sasa huyo mchumba wako na yeye atumie dozi kama wewe ili mpone wote ila sasa msifanye kwanza mapenzi hadi mtakapo pona au nenda ukapima magonjwa ya zinaa to be more spectific ili wakuandikie au nitakuandikia dawa baada ya kujua ni nini haswa kwa undani zaidi.
 
Back
Top Bottom