Msaada please! Sipati choo

Msaada please! Sipati choo

mwanike wa ukaya

Senior Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
115
Reaction score
79
Jaman directly katika tatzo langu ni kuwa wiki ya tatu hii sipati choo...ukilinganisha na ndonga ninayokula . nikijitahidi sana kias kidogo sana hata kidole cha mwisho kikubwa..tumbo haliumi na njaa inauma vizuri tuu...hospital nkapima laboratory. Wakasema no problem. Cjui ni uchawi gan huu Naamini g ntapata msaada wenu..humu maana jf ndo mkomboz na suluhisho la tatzo. Asanten
 
Upataji wa choo unategemea vyakula unavyokula, matunda, kiasi cha maji unachokunywa, mazoezi unayofanya pia kama ulitumia dawa za kupunguza maumivu hivi karibuni zina madhara katika kufunga choo. Msongo wa mawazo pia unaweza kusababisha tatizo hilo.
 
Pata juice ya ukwaju.... Utapata mamboz...!!!!

Yes hii ndio suluhisho rahisi kabisa isipokuwa ili kupata matokeo chanya ndani ya muda mfupi hakikisha unaitengeneza mwenyewe na iwe nzito sana..
 
Pole sana mkuu, nenda kwa masai aliyekaribu nawe akupe dawa za kuhara!
 
Mkuu mbona nzuri hiyo kwani lazima unye? Ombea usinye kabisa
 
kuna wale jamaa huwa wanauza dawa za kuhara (kusafisha tumbo) ukiona watu nyomi na katikati kuna mtu anasema anatotolesha kifaranga kwa kupaka yai chemicals sogea
 
Back
Top Bottom