MSAADA PLEASE! (Wanaume)

MSAADA PLEASE! (Wanaume)

kaka na maswali yafuatayokabla sijakupa ushauri 1.JE NI MARA NGAPI UMEWAHI KUFANYA MAPENZI 2. JE NI KILA UKIKUTANA NA HUYO MWANAMKE TU KHALI HIYO INAKUTOKEA 3. NA UKIAMKA UCKU UMESEMA UNAIKUTA IMESIMAMA JE HUWA UNAKUWA UNAOTA NINI 4. JE NI WAKATI GANI HUWA UNAFANYA MAPENZI NA HUYO MDADA ( UCKU AU MCHANA)
 
1-nadhani ondoa HOFU (kama una ndoa)

2-ni vyema ukasubiri muda muafaka wa wewe kufanya mapenzi (ukioa),huenda hiyo hofu inatokana na ile SELF GUILT inayokuja kutokana na kufanya kitu ambacho mungu hajakibariki......ACHA ZINAA

Now, see who is talking!
Kweli 2011 mabadiliko nayaona, hallelujah, can somebody say amen?
 
Hofu inaletwa na sababu fulani ambayo hujaitaja hapa,sisi hatuwezi kutibu dalili,tunataka tutibu mzizi wa tatizo lako?hujasema hata unachoogopa ni nini?ushauri wako,sikiliza sauti yako ya ndani(instinct) na uitii,yaweza kuwa ni nguvu za Mungu pia,ujue hata tunapopungukiwa na udhaifu wa kibinadamu yeye anatupenda na pengine anakuepusha na jambo,muache huyo msichana,tafuta muda wa kutafakari na kusikiliza nafsi yako.Kila la kheri.

Nashukuru Michelle, ni kweli labda sijaeleza kwa undani zaidi, lakini ni kwamba hofu yangu yatokana na kwamba hapo mwanzo nilikuwa sina hofu yoyete naye na akisaula tu nikiuona mwili jamaa anachachamaa sana na tuna do hadi mwisho sasa siku moja ukanitokea huu uoga nikashindwa timiza na ikaja mara hii sasa ya pili ule uoga umenirudia ndiyo naomba ushauri hapo jinsi gani ya kuukabili huu uoga. Demu namuamini asilmia 98% sina hofu kwa hilo, hofu yangu ni huku kuendelea kumtesa kwa yeye kuwa tayari kunipokea ilhali mimi jamaa kagoma!
 
That means humwamini huyo mdada, na unahisi huenda ana ngoma...Hapo hata kama unatumia zana akili inafanya kazi yake na kukuondole a hamu!..
Kapimeni na mpenzi huyo ili muaminiane!

Black naona amemaliza niongezee hapo, unahofu mbili kwanza hujiamini kama uko salama na unamuonea huruma huyo binti (huna future nae), au humuamini huyo binti sababu ya historia ya matukio yalipita/mapenzi.
Ulishawahi kujishughulisha na punyeto ulikuwa MGUMU hujihusishi na mabinti before hujaumizwa kabla
Kapimeni au tafuta wa kudumu na mupime HIV
 
Nikuambie kitu bro?Acha hizo mambo,Mungu anakupenda.Kuna jamaa wanatamani sana wangekuwa na udhaifu huo.

Nashukuru Mkuu, lakini Its complicated!! nakuelewa unamaanisha nini, ila uhusiano wangu na huyu demu si wa mlengo huo, ni uhusiano wenye FUTURE.
 
Mkuu si kwamba ndiyo najifunza, mi ni kijana wa makamo. naomba kama una maoni kuhusu hili nisaide kuokoa jahazi hili. ahsante

Hebu tulia na mweleze huyo mwenza wako kuwa unatatizo hilo ili awe mpole na msaidiane kulitatua kwa matatizo mengine yanatibika kwa mazungumzo.
Pia angalia historia yako na mambo ya kiimani/nguvu za giza

Wewe uliwahi kufanikiwa huko nyuma au tangu ukengeuke hiyo ndio hali yako?
 
kaka na maswali yafuatayokabla sijakupa ushauri 1.JE NI MARA NGAPI UMEWAHI KUFANYA MAPENZI 2. JE NI KILA UKIKUTANA NA HUYO MWANAMKE TU KHALI HIYO INAKUTOKEA 3. NA UKIAMKA UCKU UMESEMA UNAIKUTA IMESIMAMA JE HUWA UNAKUWA UNAOTA NINI 4. JE NI WAKATI GANI HUWA UNAFANYA MAPENZI NA HUYO MDADA ( UCKU AU MCHANA)

Mkuu, Na huyu binti ni mara nyingi tu (2) Ndiyo, bado sijafanya na demu mwingine yeyote (3) Huwa sijaota chochote ni vile nikiamka na kumtizama mrembo na lile joto jamaa anakakamaa (4) Mara nyingi huwa ni usiku wa kama saa mbili hivi. Nashukuru
 
Hebu tulia na mweleze huyo mwenza wako kuwa unatatizo hilo ili awe mpole na msaidiane kulitatua kwa matatizo mengine yanatibika kwa mazungumzo.
Pia angalia historia yako na mambo ya kiimani/nguvu za giza

Wewe uliwahi kufanikiwa huko nyuma au tangu ukengeuke hiyo ndio hali yako?

Nilishawahi kufanya naye yeye huyuhuyu mara kadhaa Mkuu bila shida!
 
Hofu inaletwa na sababu fulani ambayo hujaitaja hapa,sisi hatuwezi kutibu dalili,tunataka tutibu mzizi wa tatizo lako?hujasema hata unachoogopa ni nini?ushauri wako,sikiliza sauti yako ya ndani(instinct) na uitii,yaweza kuwa ni nguvu za Mungu pia,ujue hata tunapopungukiwa na udhaifu wa kibinadamu yeye anatupenda na pengine anakuepusha na jambo,muache huyo msichana,tafuta muda wa kutafakari na kusikiliza nafsi yako.Kila la kheri.
ndio tatizo la kuchukua mademu micharuko anachapa huku anafikiria jamaa wengine wanavyomchapa demu wake ndio maana hataki kuwa wazi mie nilishamsoma muda tu
 
ndio tatizo la kuchukua mademu micharuko anachapa huku anafikiria jamaa wengine wanavyomchapa demu wake ndio maana hataki kuwa wazi mie nilishamsoma muda tu

Hahahahah! Man its not like that, demu si mcharuko bana.
 
Mkuu si kwamba ndiyo najifunza, mi ni kijana wa makamo. naomba kama una maoni kuhusu hili nisaide kuokoa jahazi hili. ahsante

Mi huwa inanitokea kwa demu ambae naona mashine yake ni mbovu haifai kabisa sasa inabidi twende PM kidogo
 
Mi huwa inanitokea kwa demu ambae naona mashine yake ni mbovu haifai kabisa sasa inabidi twende PM kidogo

kama tatizo ni hili mwache ajaribu kuvaa miwani ya 3D, yale mamiwani yanasaidia sana kutokuona uhalisia wa mambo.
 
NGOREME-----Huoni kutumia redbull na valuer pia itamsababishia tatizo la kiisaikolojia kwamba kila mara akitaka ku do lazima atumie hvo vinywaji otherwise hatakua na confidence?
 
remember,either you control your mind or it controls you,
in this case looks like your mind controls you...

concentration is at the root of mental mastery......
 
EEEEEEEh nakumbuka siku mmoja nilimtokea demu akanikubalia kwenye gemu jamaa akalala kabisaaaa kagoma.

baada ya miezi sita yule demu akafa kwa ngoma. Wakati mwingine yaweza kuwa kunajambo fulani kama alivyochangia m,dau mmoja hapo juu
 
Misosi;Nashukuru Michelle, ni kweli labda sijaeleza kwa undani zaidi, lakini ni kwamba hofu yangu yatokana na kwamba hapo mwanzo nilikuwa sina hofu yoyete naye na akisaula tu nikiuona mwili jamaa anachachamaa sana na tuna do hadi mwisho sasa siku moja ukanitokea huu uoga nikashindwa timiza na ikaja mara hii sasa ya pili ule uoga umenirudia ndiyo naomba ushauri hapo jinsi gani ya kuukabili huu uoga. Demu namuamini asilmia 98% sina hofu kwa hilo, hofu yangu ni huku kuendelea kumtesa kwa yeye kuwa tayari kunipokea ilhali mimi jamaa kagoma!

Mzee pole sana kwa hilo, ni kuulize labda unafanya kazi sana na mwili kuchoka sana? Hii inaweza kutokea maana mwanaume hamu ya kufanya mapenzi Inaanzaia akilini baada ya kuoana. Kama akili na mwili umechoka kuna uwezekano mkubwa mzee kugoma. Au kama una mawazo sana/ stress nayo inachangia katika hali hiyo.

Usiwe unakamia sana kutaka kuifanya hiyo shughuri maana ukiipangilia sana hiyo hali inaweza kukutokea. Tendo la ndoa unaweza kulifanya pia kwa kubadili mazingira, kama ulizoea Kitandani basi unaweza kutoka mkaenda bafuni kuoga wote na kumaliza shughuri huko huko. Jikoni pia au hata sebuleni. Badili mazingira kidogo inaweza kukusaidia kupata apetite ya shughuri.
 
1-nadhani ondoa HOFU (kama una ndoa)

2-ni vyema ukasubiri muda muafaka wa wewe kufanya mapenzi (ukioa),huenda hiyo hofu inatokana na ile SELF GUILT inayokuja kutokana na kufanya kitu ambacho mungu hajakibariki......ACHA ZINAA

Kweli huu ni mwaka wa Neema, Ubarikiwe mtumishi kwa ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom