MSAADA PLEASE! (Wanaume)

MSAADA PLEASE! (Wanaume)

mwana ushakuwa nyuki wa mashine.
yani inamaana hata ile sa kumi na moja bado kitu inakosa chaji?
pole mkuu, tafuta kiagra, au mkongoraa kama unatokea maeneo ya mstuni.
 
mwana ushakuwa nyuki wa mashine.
yani inamaana hata ile sa kumi na moja bado kitu inakosa chaji?
pole mkuu, tafuta kiagra, au mkongoraa kama unatokea maeneo ya mstuni.

Chaji ipo mwana, sema ndiyo hayo mauoga. si kwamba sifanyi naye kabisa, ile nikiamba ikiwa imechachamaa nado the needful lakini pale mwanzoni ilipogoma huwa namuonea huruma sana demu sbb anakuwa kalegea kabisa lakini mi wapii!! usiku na asubuhi jamaa anachachamaa mbaya!
 
Misosi;Nashukuru Michelle, ni kweli labda sijaeleza kwa undani zaidi, lakini ni kwamba hofu yangu yatokana na kwamba hapo mwanzo nilikuwa sina hofu yoyete naye na akisaula tu nikiuona mwili jamaa anachachamaa sana na tuna do hadi mwisho sasa siku moja ukanitokea huu uoga nikashindwa timiza na ikaja mara hii sasa ya pili ule uoga umenirudia ndiyo naomba ushauri hapo jinsi gani ya kuukabili huu uoga. Demu namuamini asilmia 98% sina hofu kwa hilo, hofu yangu ni huku kuendelea kumtesa kwa yeye kuwa tayari kunipokea ilhali mimi jamaa kagoma!


Mzee pole sana kwa hilo, ni kuulize labda unafanya kazi sana na mwili kuchoka sana? Hii inaweza kutokea maana mwanaume hamu ya kufanya mapenzi Inaanzaia akilini baada ya kuoana. Kama akili na mwili umechoka kuna uwezekano mkubwa mzee kugoma. Au kama una mawazo sana/ stress nayo inachangia katika hali hiyo.

Usiwe unakamia sana kutaka kuifanya hiyo shughuri maana ukiipangilia sana hiyo hali inaweza kukutokea. Tendo la ndoa unaweza kulifanya pia kwa kubadili mazingira, kama ulizoea Kitandani basi unaweza kutoka mkaenda bafuni kuoga wote na kumaliza shughuri huko huko. Jikoni pia au hata sebuleni. Badili mazingira kidogo inaweza kukusaidia kupata apetite ya shughuri.

Mkuu nashukuru kwa ushauri mzuri, nitaufanyia kazi aisee. Yawezekana ni sbb moja wapo kwani huwa akamia kinoma may b its a reason! Thanx
 
Pole sana mpenzi mbaya sana hiyo jamani, bahati mbaya mimi sio mwanaume nashindwa hata cha kukushauri hope wakiamka walengwa utapata msaada

Nadhani ndo ungekuwa na nafasi nzuri ya kumshauri, imagine angekuwa ndo mpenzi wako au mmeo ungefanyeje? ungependa kila siku mpge desh.....
 
Hili ni tatizo la kisaikolojia tu na linatokana na mambo mengi. mengine yameshasemwa mfano hofu ya kupata maradhi, kufumaniwa n.k. mimi nakumbuka wakati niko chuo na kabla sijaoa hali hiyo ilikuwa inanitokea. mwenzangu akawa ananiletea chocolate natafuna kabla ya kuanza mechi.
tatizo likaishana na tukaoana na tunaishi kwa amani
 
Hili ni tatizo la kisaikolojia tu na linatokana na mambo mengi. mengine yameshasemwa mfano hofu ya kupata maradhi, kufumaniwa n.k. mimi nakumbuka wakati niko chuo na kabla sijaoa hali hiyo ilikuwa inanitokea. mwenzangu akawa ananiletea chocolate natafuna kabla ya kuanza mechi.
tatizo likaishana na tukaoana na tunaishi kwa amani

Mkuu nashukuru kwa ushauri, bila shaka kama nimekuelewa vyema ni kwamba chocolate zasaidia. samahani wawezafafnua kidogo? mfano chocolate aina ipi hasa? ahsante sana
 
Back
Top Bottom