Misosi;Nashukuru Michelle, ni kweli labda sijaeleza kwa undani zaidi, lakini ni kwamba hofu yangu yatokana na kwamba hapo mwanzo nilikuwa sina hofu yoyete naye na akisaula tu nikiuona mwili jamaa anachachamaa sana na tuna do hadi mwisho sasa siku moja ukanitokea huu uoga nikashindwa timiza na ikaja mara hii sasa ya pili ule uoga umenirudia ndiyo naomba ushauri hapo jinsi gani ya kuukabili huu uoga. Demu namuamini asilmia 98% sina hofu kwa hilo, hofu yangu ni huku kuendelea kumtesa kwa yeye kuwa tayari kunipokea ilhali mimi jamaa kagoma!
Mzee pole sana kwa hilo, ni kuulize labda unafanya kazi sana na mwili kuchoka sana? Hii inaweza kutokea maana mwanaume hamu ya kufanya mapenzi Inaanzaia akilini baada ya kuoana. Kama akili na mwili umechoka kuna uwezekano mkubwa mzee kugoma. Au kama una mawazo sana/ stress nayo inachangia katika hali hiyo.
Usiwe unakamia sana kutaka kuifanya hiyo shughuri maana ukiipangilia sana hiyo hali inaweza kukutokea. Tendo la ndoa unaweza kulifanya pia kwa kubadili mazingira, kama ulizoea Kitandani basi unaweza kutoka mkaenda bafuni kuoga wote na kumaliza shughuri huko huko. Jikoni pia au hata sebuleni. Badili mazingira kidogo inaweza kukusaidia kupata apetite ya shughuri.