1-nadhani ondoa HOFU (kama una ndoa)
2-ni vyema ukasubiri muda muafaka wa wewe kufanya mapenzi (ukioa),huenda hiyo hofu inatokana na ile SELF GUILT inayokuja kutokana na kufanya kitu ambacho mungu hajakibariki......ACHA ZINAA
Hofu inaletwa na sababu fulani ambayo hujaitaja hapa,sisi hatuwezi kutibu dalili,tunataka tutibu mzizi wa tatizo lako?hujasema hata unachoogopa ni nini?ushauri wako,sikiliza sauti yako ya ndani(instinct) na uitii,yaweza kuwa ni nguvu za Mungu pia,ujue hata tunapopungukiwa na udhaifu wa kibinadamu yeye anatupenda na pengine anakuepusha na jambo,muache huyo msichana,tafuta muda wa kutafakari na kusikiliza nafsi yako.Kila la kheri.
That means humwamini huyo mdada, na unahisi huenda ana ngoma...Hapo hata kama unatumia zana akili inafanya kazi yake na kukuondole a hamu!..
Kapimeni na mpenzi huyo ili muaminiane!
Nikuambie kitu bro?Acha hizo mambo,Mungu anakupenda.Kuna jamaa wanatamani sana wangekuwa na udhaifu huo.
Mkuu si kwamba ndiyo najifunza, mi ni kijana wa makamo. naomba kama una maoni kuhusu hili nisaide kuokoa jahazi hili. ahsante
kaka na maswali yafuatayokabla sijakupa ushauri 1.JE NI MARA NGAPI UMEWAHI KUFANYA MAPENZI 2. JE NI KILA UKIKUTANA NA HUYO MWANAMKE TU KHALI HIYO INAKUTOKEA 3. NA UKIAMKA UCKU UMESEMA UNAIKUTA IMESIMAMA JE HUWA UNAKUWA UNAOTA NINI 4. JE NI WAKATI GANI HUWA UNAFANYA MAPENZI NA HUYO MDADA ( UCKU AU MCHANA)
Hebu tulia na mweleze huyo mwenza wako kuwa unatatizo hilo ili awe mpole na msaidiane kulitatua kwa matatizo mengine yanatibika kwa mazungumzo.
Pia angalia historia yako na mambo ya kiimani/nguvu za giza
Wewe uliwahi kufanikiwa huko nyuma au tangu ukengeuke hiyo ndio hali yako?
ndio tatizo la kuchukua mademu micharuko anachapa huku anafikiria jamaa wengine wanavyomchapa demu wake ndio maana hataki kuwa wazi mie nilishamsoma muda tuHofu inaletwa na sababu fulani ambayo hujaitaja hapa,sisi hatuwezi kutibu dalili,tunataka tutibu mzizi wa tatizo lako?hujasema hata unachoogopa ni nini?ushauri wako,sikiliza sauti yako ya ndani(instinct) na uitii,yaweza kuwa ni nguvu za Mungu pia,ujue hata tunapopungukiwa na udhaifu wa kibinadamu yeye anatupenda na pengine anakuepusha na jambo,muache huyo msichana,tafuta muda wa kutafakari na kusikiliza nafsi yako.Kila la kheri.
ndio tatizo la kuchukua mademu micharuko anachapa huku anafikiria jamaa wengine wanavyomchapa demu wake ndio maana hataki kuwa wazi mie nilishamsoma muda tu
sasa kinachokutisha nn au mbunye ilivyo-mbaya kwa sura lakini tamu kwa ladha?Hahahahah! Man its not like that, demu si mcharuko bana.
Mkuu si kwamba ndiyo najifunza, mi ni kijana wa makamo. naomba kama una maoni kuhusu hili nisaide kuokoa jahazi hili. ahsante
Mi huwa inanitokea kwa demu ambae naona mashine yake ni mbovu haifai kabisa sasa inabidi twende PM kidogo
Mi huwa inanitokea kwa demu ambae naona mashine yake ni mbovu haifai kabisa sasa inabidi twende PM kidogo
Inabidi ili kuondoa Hofu pata Bia ili utoe nishai am sure baada ya kufanikiwa mara ya kwanza utaona ni kitu cha kawaida na hofu itaondoka
1-nadhani ondoa HOFU (kama una ndoa)
2-ni vyema ukasubiri muda muafaka wa wewe kufanya mapenzi (ukioa),huenda hiyo hofu inatokana na ile SELF GUILT inayokuja kutokana na kufanya kitu ambacho mungu hajakibariki......ACHA ZINAA