Nachelea kuamini kwamba kuna list kubwa ya WAPIGA NYETO kiasi hiiki aisee sio Poa
Ukitaka kuyajua Madhara ya PUNYETO muulize mtu yeyote ambae amewahi kuvuta SIGARA kupitiliza last stage hua ni kukohoa kwa taaabu km vile anavyoigiza Harmonize kwenye intro za nyimbo zake, kile kinachotokea kwenye Mapafu, Mfumo wa Koo, Mishipa ya Moyo, Kibofu cha Mkojo na Figo kwa mtu anaevuta Sigara kupitiliza ndicho kinachotokea kwa mtu anaepiga PUNYETO kupitiliza kwenye mfumo wake wa uzazi kwa ujumla
Msipende kupingapinga kila kitu bila kufanyia upembuzi yakinifu au kufuatilia kiundani
Ndio unajipatia pleasure ya mda mfupi ila ukifanya kupitiliza believe me inakurudi maana what goes around comes around lazima itakurudi hio dhambi itakutafuna wewe mwenyewe ungali hai na madhara yake sio ya kawaida unaweza ukajilaumu hadi siku unazikwa
Sikutishi ila nakwambia uhalisia
Km unafanya na kuacha kwako ni Jambo guuuumu sana kiasi kwamba huwezi kuacha basi fanya kwa kiasi, huo ndio ushauri pekee ninaoweza kukupa
Maana hatufanani kimaumbile kuna ambao wana kiwango kikubwa cha hormone za kiume/kike na kuna ambao Wana kiwango kidogo cha hormone za kiume/like, hapa ndio unakuta mtoto wa kiume ila ni mzuri km mama yeke ila mtoto wa kiume ana sura ya kazi km Mandonga mtu kazi
Lakini ukiweza kabisa acha huo mchezo ndugu yangu madhara yake tafuta yaliyomkuta haswa atakusimulia vizuri wapo waliokimbiwa na wake zao, wapo waliogongewa wake zao, wanawake wanaoendekeza huo mchezo ndio kabisa ndoa zao zinakua hazikariki anaona ni kheri aolewe na mwanamke mwenzake kuliko mwanaume maana uhishia kuona km mwanaume anamuumiza tu au hamfikishi pale anapopataka haswa..
Yapo mengi ya kuelezea Jamaa's watu wa MUNGU msifanye hivyo hamkupewa hicho kiungo ili mkifanye hivyo mnavyokifanya, chenyewe kinasononeka ila hakiwezi kukuambia kua haukitendei haki kwanin lakini
Jiulize km hicho kiungo chako kingekua na uwezo wa kuongea na kukuhoji kwanin unakifanya unavyokifanya wewe dada wewe kaka ungekijibu niini? wanaume wooote waliojaa wewe dada bado unapiga NYETO na wanawake wooote waliojaa wewe kaka bado unapiga NYETO na wengine wanajiuza Bei Chee kabisa kila umbo unalotaka wewe tu na 10,000, 15,000, 20,000 au 30,000 yako tu mkononi kuanzia hapo Ubungo Riverside, Buguruni, Kimara Kona, Kimara Mwisho, Tegeta, Mbezi Beach, Kinondoni, Magomeni, K/koo, Mikocheni, Tabata, Gongo la Mboto, Ukonga, Mbagara Majimatitu, Mbagara Chamazi, Temeke, Tandika, Sinza, Kigambini Darajani, Kurasini Uhasibu, Kitunda, Kiwalani, Manzese TipTop na kwingineko unakula mzigo kwa Bei rahisi kwanini upige NYETO wewe una matatizo ya Akili?