Kwanza hauwezi kuwa hanith kwa kujichua, pia hauwezi kushindwa kupata watoto sababu ya kujichua
Madhara yanayoambatana na kujichua ni haya
1. Kuathirika kisaikolojia sababu kitendo unachokifanya sio maadili mazuri
2. Kushindwa kuhimili tendo la ndoa kwa mwanamke yaan ukishamwaga cha kwanza tu haurudii tena.
3. Premature ejaculation
4. Kuumwa mgongo na uti wa mgongo
5. Uume kusinyaa yaan unakuwa mdogo kama wa mtoto
Madhara haya si lazima yakutokee yote,
Hali uliyonayo hupitiwa na vijana karibu wote ila wengi huacha mapema sana sasa wewe 27 ni umri mkubwa sana kwa amaana una zaidi ya miaka 10 unajichua
Way forward.
Kwanza hatua ya kutambua kuwa kitendo hicho sio kizuri na kina madhara ndo hatua ya kwanza na nzuri kuanza safari yako mpya
Pili dhamira yako ya kutaka kuacha punyeto ni hatua ya pili na nzuri tu ambayo dereva mkuu ni wewe mwenyewe
Tatu: kamwe usijaribu kuudanganya moyo wako, najua hujanielewa kwamba umeamua kuacha halafu unajiiba maramojamoja unafanya utakuwa unafanya sawa na kunya kinyesi halafu unakila tena
Kama utashindwa kujisimamia kuacha basi tsfuta mshauri nasaha mweleze kila kitu
Cha kufanya sasa
Kwanza usikae peke yako mda mrefu kama unalala peke yako basi tafuta hata rafiki umkaribisha uwe unalala naye
Pili kama unaangalia picha za ngono basi futa zote na ikiwezekana kama smartphone ni kikwazo iuze nunua simu ya kawaida
Tatu anza mazoezi asubuhi na jioni ili kuuchosha mwili na kama umeajiriwa basi jikite zaidi kufanya kazi ya mwajiri wako masaa hata baada ya kazi ili kuuchosha mwili
Nne tafuta mschana na ikiwezekana oa kabisa sababu kwa umri wako vijana wengi ndo huanzisha familia hata mm nlioa na miaka 28 nikiwa kazini mwaka mmoja.
Na mwisho lichukie sana hilo tendo maana ni machukizo kwa mwenyezi Mungu.