Msaada, punyeto inanisumbua sana

Msaada, punyeto inanisumbua sana

Hizo ni Connection tu mkuu wengine hua hawasimami barabarani au kujilengesha club ila wanauza ukimpata Wakala wake unakuunganisha nae unaenda kula mambo

La Mikocheni lipo Mikocheni hapo hapo
Poapoa hawa wa barabarani washenzi sana huduma zao mbovu. Nitakucheki pm kwa connection
 
Kuna Wanaume wananguvu za kiume nyingi pona Yao ni kuboost na masturbation alafu sio kweli mstaburtabion inaondoa au kupunguza nguvu za kiume kama huna nguvu zakiume huna tu hata usipopiga masturbation

Ili uache masturbation tafuta mwanamke hilo ndo suluhisho
 
Sasa nashangaa huku kuna kijana anakaa anapiga NYETO km huna Pesa sema ongea na Jamii yako ikusaidie Pesa ukanunue chupi zipo kila Kona ya Nchi hii kila Mkoa wapo wanauza hadi ukiingia vijijini ndani ndani uko wapo wanauza Bei Chee kabisa unajimaliza saaafi kabisa

Dunia imebadirika mwambie kaka mwambie dada mwambie mama mwambie baba Jamaa eeeh hawa wanawake wanazibana nyuchi zao nipeni 20,000 nikajimalize huko viwanjani kwao

Kuna dogo yupo Chuo tunaishi nae anaishi na Auntie yake anawakaza saaaana tu tena bila kificho

Kwanini upige NYETO wakati wanaziuza Bei rahisi?

Huna hela omba utapewa nenda kakamate malizana nae sio mtu anakaa anapiga NYETO huo ni udhaifu

Mwanaume hautakiwi kua mdhaifu kiasi hicho

NYETO ina madhara makubwa moja ya madhara makubwa ni kukupunguzia hadhi ya kua mwanaume unakua haujiamini kiume unakosa kujiamini mwanaume gani wewe?

Unajua kuamkamua mwanamke kitandani akakamuka haswa ndio kunakomfanya mwanaume akawa mwanaume sasa wewe unajikamua mwenyewe utakuaje Mwanaume?

Ni sawa na mtu aliekamata Kuku akamchinja na kumwekea kisu shingoni pindi Kuku anapopuputika ndio mwanaume inabidi awe na ujasiri kiasi hicho

PUNYETO inapunguza idadi ya wanaume na pia inapunguza idadi ya wanawake

Maana hupelekea wanaume kutaka kua wanawake na wanawake kua wanaume

Matokeo yake unajua hua ni nini?

Lesbian & Gay

Mwisho kabisa mambo yakishavurugika uko chini ili kuikimbia aibu unaona bora uwageuzie wanaume wenzio wakumalize tu maana hauna utakachoweza kumfanya mwanamke akaona kwenye umemkamua

Madhara ni makubwa sio kidogo mkuu
Kuna watu wapo mamilioni wanapiga vyote nyeto na mademu wanakaanga.shauri zako
 
Kuna watu wapo mamilioni wanapiga vyote nyeto na mademu wanakaanga.shauri zako
Mfano mdogo umesikia takwimu zinasema
Kwa Dar tu peke yake ndoa 300 zinavunjika kila mwezi jiulize sababu ni nini?

Au unajiliwadha tu?

Wewe mwanamke uke anauzamisha mavitu ya ajabu ajabu hio kwako inakuingia akilini au wewe mwanaume anajichezea maungo yake wakati ukipita road usiku huu kuna maeneo wanawake wanakuita wenyeweeee 'mchumba nije?' na ukiongea nao wenyewe ndio wanakubembelezea ukawakune

Fika LIQUID hapo wenyeweeee wanakuita ukawat_mbe

Unapigaje NYETO wewe ni kichaa una matatizo ya Akili wewe?
 
Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.

Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.

Tuungane kuitokomeza punyeto!
chukua kisu kata iyo penis au kata mkono
 
1.ukiweza kufuta chrome.,tik too na Instagram Punyeto inakwenda na pornography pamoja

2.anza kutafuna kitunguu swaumu tangawizi na asali ku restore ulivyopoteza

3.usiwe na wasiwasi haiathiri Sana kwa miaka kumi ijayo Bado utaweza kuwalamba wasichana

4.ukianza kupiga punyeto mkumbuke Bibi yako au mama yako ulikotoka...huwafanyii haki...


5.shetani wa punyeto huyu hapa huwa anasubiria ukojoe achekeView attachment 2347516
Aisee nimecheka sana hiyo 1 & 5
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah umejua kunichekesha wewe
Unapaka kilainishi mapajani kisha Unachukua rungu unalipana katika mapaja, unasimamia mguu mmoja kisha ule mwingine unasugulia kama vile unapiga kiki ya pikipiki 😂

Hapo unamtafuna demu mzuri unamuweka kichwani, unapiga kiki zako dk 0 tu wazungu hawa hapa 😂
 
Unapaka kilainishi mapajani kisha Unachukua rungu unalipana katika mapaja, unasimamia mguu mmoja kisha ule mwingine unasugulia kama vile unapiga kiki ya pikipiki [emoji23]

Hapo unamtafuna demu mzuri unamuweka kichwani, unapiga kiki zako dk 0 tu wazungu hawa hapa [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
na wengine wanajiuza Bei Chee kabisa kila umbo unalotaka wewe tu na 10,000, 15,000, 20,000 au 30,000 yako tu mkononi kuanzia hapo Ubungo Riverside, Buguruni, Kimara Kona, Kimara Mwisho, Tegeta, Mbezi Beach, Kinondoni, Magomeni, K/koo, Mikocheni, Tabata, Gongo la Mboto, Ukonga, Mbagara Majimatitu, Mbagara Chamazi, Temeke, Tandika, Sinza, Kigambini Darajani, Kurasini Uhasibu, Kitunda, Kiwalani, Manzese TipTop na kwingineko unakula mzigo kwa Bei rahisi kwanini upige NYETO wewe una matatizo ya Akili?
Mkuu[emoji848]
 
Huku Banana Kuna pussy mpaka za buku 2, ukitoa buku 5 anakupa mpaka Mtaro uusafishe...

By the way Kuna MASTURBATION KIT hapa, inaenda Kwa bei cheep afu free Delivery..
IMG_20220906_221006.jpg


Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
 
Bakari nondo ameshakuwa janga la kitaifa.This issue must be addressed by the National Government as a National disaster.

Ila kuacha hii kitu Ni mtihani Sana ila fuata ushauri was Wana jf utakusaidia.

1.Epuka kuangalia video/ picha za ngono
2.Futa porn sites & porn search history zote Kwenye simu yako
3.Epuka kukaa pekee yako ili ysije ukashawishika kufanya hio kitu
4.Mchana kuwa busy ufanye kazi uchoke kbsa ili usiku ukienda kulala huwi na muda was kufanya hio kitu maana umechoka
4.Epuka makundi ya watu wanaopenda kuongelea hsbari za Mapenzi hasa za ngono
5.Tafuta demu mmoja mzuri uwe naye
6.Fanya mazoezi kila siku
7.Sali Sana kwa Mungu akuondolee hilo pepo la nyeto.
Thank me later.
 
Hii shida ya punyeto kwa vijana wa sasa ni kubwa sana. Na kuna usiri mkubwa sana katika kuijadili ila ukweli watumiaji ni wengi sana wa huu uraibu na ni kwa rate kubwa sana.

Kimsingi, uwepo wa uraibu(addiction) wa punyeto ( masterbation) katika jamii yetu ya vijana wa sasa ni matokeo ya moja kwa moja ya kukosekana misingi ya kuwaandaa vijana na mabinti kwaajiri ya ndoa.

Maisha ya ndoa huuweka mwili katika hali ya kupambana na vishawishi vya kingono na kuukeep busy na shughuli za kifamilia, kijamii, na pia kutafakari kuhusu uzalishaji wa mali na uwekezaji kwaajiri ya familia na jamii yako.

Sasa haya maisha ya sasa kuna msukumo mkubwa sana wa kuidhoofu taasisi Ndoa na kuifanya ionekane kama kero kwa wahusika yet.... wahusika .... hawa hawa wahusika wanataka kupata benefits zinazopatikana kwenye ndoa kama upendo, kujaliwa, kusikilizwa, mahitaji ya kimwili na akili kama kukumbatiwa, kubembelezwa, kununuliwa Mavazi, kupewa pocket money, etc.

Ni muda sasa viongozi, jamii na taasisi wakatambua madhara makubwa ya kijamii, kisiasa na kiuchumi katika eneo la mahusiano maana miaka hii ya tisini kuja elfu mbili hata watu wenye mfadhaiko na changamoto za kisaikolojia wanaongezeka kwa kasi sana ukilinganisha na miaka ya nyuma huku mitaani.

Unakutana na mtu ila hayupo sawa sawa. Anawasiwasi, ana hasira za hovyo kwenye mambo madogo ya kupuuza tu, ana majibu yasiyo ya heshima, anafanya umalaya kama kitulizo cha akili au kujikimu etc. Haya yote ni matokeo ya msingi mbovu wa eneo la ndoa. Ndoa ndio taasisi nambari moja ya taifa au jamii yoyote Duniani. Ukiidhoofisha jiandae kutengeneza misukule kwenye Jamii na taifa kwa ujumla.

Watoto watakaozaliwa nje ya ndoa au ndani ya ndoa za mifarakano wengi watakuwa na issues mbali mbali za kisaikolojia ikiwemo Traumatized minds ambazo zitawafanya washindwe kuwa sehemu ya raia wazuri wataanza kuishi kwa mifumo yao wanaoijua.


Mfano unakutana na binti anasema mimi sitaki kuolewa ila nataka nipate watoto wangu tu nilee mwenyewe jua tatizo hilo hapo mbele ya macho yako.

Ukiona binti analala na mume wa mtu bila kujali madhara ya kuvunja ndoa za watu shida hiyo hapo mbele yako.

Ukiona kijana anazaa hovyo watoto halafu hataki kuanzisha familia na wanawake ana zaa nao jua shida hiyo hapo.

Ukiona kijana anatesa wanawake zake kwa vipigo, hasira hasira, anabaka au kulawiti watoto wadogo shida hiyo hapo mbele yako.

Ukiona rushwa imejaa kila eneo then jua uozo umeanza ndani ya familia kuwa na misingi ya tamaa katika malezi ya watoto.

So nikirudi kwenye mada na kujikita hapa kwenye eneo la punyeto, ni vema tukafahamu hii ni vita ya akili na roho. Punyeto ni ishara ya kukosekana kwa uwepo wa spirit ya kike katika maisha ya mwanaume.

Unaweza kuoa na ukawa na mke mzuri tu ila ukashindwa kufurahia nae mgegedo sababu ndani ya nafsi, akili na roho yako kuna gepu kubwa sana la kukosekana mwanamke ndani ya maisha yako.

Vijana wengi wanakaa boarding school hadi wanamaliza chuo hii. Muda wote huu wakosa kujenga bondi na kuwalewa wanawake nje ya Sex na ngono.

Mwanamke ni nusu ya mwanaume. Uwepo wake unajaza nafasi ya uhitaji wa kiroho wa mwanaume. Ukiwa na mwanamke ambaye unampenda na anakupenda anakujali na unajua kabisa kiasi kwamba asubuhi ukiwa unatoka kwenda mihangaikoni mkitazamani anakuonea huruma kuwa unaenda kuteseka na wewe unamuonea huruma kumuacha pekee yake kwa masaa kadhaa.

Nafsi yako ikijazwa na mahaba na uwepo wa mwanamke ule muda wa kuwaza ngono, kuwaza kujichua huwa unakosekana maana akikukumbatia upweke na ashiki za kingono zote zinakuachia haraka kama mtu aliyemeza Diclofenac kutibu maumivu ya kichwa na mwili.

Sasa wengi wa vijana wanaupweke sana sababu hakuna mabinti wanaotaka kuja kuishi nao katika nyakati hizi za utafutaji. Sasa spirit ya kujichua inawajaa sababu ya kukwepa misukosuko ya mahusiano maana inawagharimu sana mentally na wao wanataka amani na utulivu wa kufikiria sawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe mzuri Sana huu.Barikiwa mkuu🙏
 
Back
Top Bottom