winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 379
- 603
Wanaume wengi sana(nadhani 80% au hata zaidi ya hapo wamepitia hata mateso. Yaani unakuwa mtumwa haswa na ukifanya nafsi inakuhukumu kwakua unafanya jambo litakalo kugharimu huko mbeleni.
Sasa njia ni moja tu: KUACHA WEWE MWENYEWE KWA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU. Wala sikushauri utafute mwanamke awe mbadala kwa kipindi cha mwanzoni. Fanya tu kuacha maana m.b.ooo itasinyaa sana na ukiwa kwenye ndoa hutaweza kumridhisha ipasavyo mke wako.