Si useme ni wewe Tu ili utibike....SASA wewe ficha uchi uone kama utazaaHabari !
Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!,
Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata sababu na nimshauri nn ili aendele kupiga show vizuri Home na Away?
Asanteni
Hii nayo yaweza kuwa sababu kuuMkuu, kupiga show nzuri au mbovu inategemea na ushirikiano unaoupata kutoka kwa mwenzio. Sex ni two way traffic, sasa Kama huyo wa Nyumbani anadhani ni responsibility ya Mwanaume tu kufanya kila kitu, na yeye analala tu Kama Gogo linalosubiri kuchomwa mkaa, lazima show iwe mbovu.
Ingekuwa Mimi ningejisema tu!! Mimi sijawahi kuoa so sijui shida za ndoaHii tabia ya kusema “rafiki yangu this, rafiki yangu that” wakati ni wewe huwa mnafeli sana aisee kama ni wewe unapiga show mbovu si useme tu... hakuna waku kujudge...
Humu hamna mkamilifu kila mtu ana shida zake
Ukisema ni wewe hutapungukiwa kitu, usisingizie watu.Habari !
Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!,
Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata sababu na nimshauri nn ili aendele kupiga show vizuri Home na Away?
Asanteni
Ni wewe Wala sio Rafiki Yako Wala Nini, kwakukusaidia tu, fanya hivi.Habari !
Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!,
Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata sababu na nimshauri nn ili aendele kupiga show vizuri Home na Away?
Asanteni
Inahusikaje tena hii hapa 😳It hurts to see the one you really love loves someone else. But it hurts even harder when you find out that you were just their bridge to cross over to their loved ones.
Ingekuwa Mimi ningejisema tu!! Mimi sijawahi kuoa so sijui shida za ndoa