Msaada: Rangi za kupaka kwenye Bati

Msaada: Rangi za kupaka kwenye Bati

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Wana JF naomba ushauri. Ipo nyumba
ambayo imeezekwa bati za kawaida
(siku hizi wanasema bati za sufuria). Ni
za geji 30 za Alminium Africa. Bati
ziliezekwa 2004. zimeanza kushika kutu.
Nyumba ipo Kimara Dar es Salaam.
Nataka nizipake rangi.
Nataka rangi isiyopauka.
Je,upo uwezekano wa kupata rangi
isiyopauka?
Rangi hiyo inaitwaje?
 
Kuwa mbunifu mkuu fanya vitu tofauti jaribu rangi nyeusi kaka
 
Back
Top Bottom