Msaada: Ratiba za minada ya wiki mkoani Dar es Salaam

Msaada: Ratiba za minada ya wiki mkoani Dar es Salaam

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Mwenye kufahamu ratiba ya midana mkoa Dar es Salaam naomba anisaidie.

Si lazima ujue ratiba ya minada yote ndio ushare, hata huo mmoja unaoufahamu ukichangia itasaidia sana.

Asante
 
Kibamba mbuzi choma Ni jumatano na jumapili.
Loliondo mbuzi choma Ni jumamosi.
Vigwaza mbuzi choma ORIGINAL +++ Ni alhamisi.
Fuatana namimi. Angalizo, kwenye mbuzi choma kote Kuna beer.
Kibamba hakuna gesti.
Gest tena 🤣🤣🤣
 
Loliondo na vigwaza ni wilaya ya kibaha mkoa wa pwani sio dar
 
Back
Top Bottom