Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Nikai Rice CookerBrand ipi ni nzuri na bei yake?
Basi kumbe wewe huzijui bidhaa nzuri pale tuu ulipo itaja aborder na ailyons kwenye kundi la bidhaa nzuriBidhaa nzuri ni za Silver Crest, West Point, Aborder, Ailyons, umeme inategemea na watts zilizoandikwa kwenye mashine husika, ila huwa hazili umeme sana, ukizingatia wali si kitu kinachochukua muda mrefu jikoni
Asante sana dada ake. Vipi kuhusu umeme? Elfu kumi kwa mwezi itatosha?Mimi natumia West Point niliinunua 2020 kwa 120,000/= Game iliyokuwa Mlimani City mpaka leo iko poa inapiga kazi.
Yani kwa jinsi nilivyoizoea ni bora nikose vifaa vyote vya umeme jikoni sio rice cooker. Ni mara chache kupika wali nje ya rice cooker na ni ikiwa ni wali nazi pekee.
Kabisa. Umeme sio wa kuhofia kwenye rice cooker, ni kidogo mno!Asante sana dada ake. Vipi kuhusu umeme? Elfu kumi kwa mwezi itatosha?
Asante sanaKabisa. Umeme sio wa kuhofia kwenye rice cooker, ni kidogo mno!
Quality,durability, performance, technology, applicability, efficiency hivyo ndivyo muhimu.Mkuu ili kitu kiitwe bidhaa nzuri kiujumla kinakuwa na sifa gani
Good mimi kutokana na experience yangu ya kutumia hizo brand mbili ulizoziponda, nimepata hivyo vyote je ni vibaya kuzisifia, au nilitakiwa nisemee kutokana na experiences za watu wengine mkuuQuality,durability, performance, technology, applicability, efficiency hivyo ndivyo muhimu.
Kabisa. Umeme sio wa kuhofia kwenye rice cooker, ni kidogo mno!
Nahitaji rice cooker yenye uwezo wa kupika wali kilo moja na nusu.
Kwa aboder hapo utapata performance, applicability na technology lakin huwezi kupata durability ,quality,na efficiency.Good mimi kutokana na experience yangu ya kutumia hizo brand mbili ulizoziponda, nimepata hivyo vyote je ni vibaya kuzisifia, au nilitakiwa nisemee kutokana na experiences za watu wengine mkuu