mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Shida ya Aboda na alyons ni brand ambazo ni unknown.Mkuu nina mifano ya watu waliotumia hizo brands (ikiwemo mimi mwenyewe) na wanazisifia sasa sijui labda matoleo ni tofauti, kuna mahali nimeona umetaja Nikai sasa kuna watu nawafahamu hiyo brand hawataki hata kuisikia ongezea na Bosch, so mimi naona hizi brands ni suala la experience ya mtu binafsi ni kama tu kwenye vitu vingine kama simu au magari kila mtu huwa na machaguzi yake
Hata ukizitafuta zimetengenezwa wapi hazipatikani mitandaoni.
Ni sawa na mtu upo so smart lakini mkononi umeshika simu ya TECNO..
Inapunguza thamani ya muonekano..
Huwezi kuwa. Smart halafu nyumbani kwako ndani unamiliki brand ya aboda na alyons.