Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

Nunua nikai naona ni nzuri
 
Asante sana kaka nitanunua zote rice cooker na pressure cooker
 
Kwa aboder hapo utapata performance, applicability na technology lakin huwezi kupata durability ,quality,na efficiency.
Mkuu nina mifano ya watu waliotumia hizo brands (ikiwemo mimi mwenyewe) na wanazisifia sasa sijui labda matoleo ni tofauti, kuna mahali nimeona umetaja Nikai sasa kuna watu nawafahamu hiyo brand hawataki hata kuisikia ongezea na Bosch, so mimi naona hizi brands ni suala la experience ya mtu binafsi ni kama tu kwenye vitu vingine kama simu au magari kila mtu huwa na machaguzi yake
 
Haya mama

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bidhaa nzuri ni za Silver Crest, West Point, Aborder, Ailyons, umeme inategemea na watts zilizoandikwa kwenye mashine husika, ila huwa hazili umeme sana, ukizingatia wali si kitu kinachochukua muda mrefu jikoni
Kwa hiyo wewe Jadda bidhaa zako bora za umeme ndio hizi!!!!
 
Good mimi kutokana na experience yangu ya kutumia hizo brand mbili ulizoziponda, nimepata hivyo vyote je ni vibaya kuzisifia, au nilitakiwa nisemee kutokana na experiences za watu wengine mkuu
Mtu aliyeendesha PASSO siku zote akiambiwa Harrier ni bora huwa hakubali.
 
Huwezi fananisha product za NIKAI na hizo takataka za akina aborder and co. mkuu labda kama una ubia na hiyo michina low class
 
Good mimi kutokana na experience yangu ya kutumia hizo brand mbili ulizoziponda, nimepata hivyo vyote je ni vibaya kuzisifia, au nilitakiwa nisemee kutokana na experiences za watu wengine mkuu
Wisdom [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ninayo ila sijawahi hata kupikia mara Moja kwa Sasa naitumia kama kibubu nadondosha hela siku ya valentine nimezila zote sikupenda siku nikianza nadhani sitaacha bahati mbaya hapa jirani Kuna mgahawa nikiwa na ham ya wali naenda kununua ila mi ni team ugali bamia all the way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…