Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

Hiyo sasa sio rice cooker ni pressure cooker. Maana rice cooker ipo limited kwa kupikia wali tu.
 
Mtu aliyeendesha PASSO siku zote akiambiwa Harrier ni bora huwa hakubali.
Kijana huo mfano wako siyo general rule, kuna watu wameendesha Land Rover ila wanakuambia Land Cruiser ndio nzuri, na kuna watu hawajawahi kuendesha hata hizo Passo wala Harrier ila wanajua magari
 
Ni electric pressure cooker ambayo ni tofauti na wanayoisema
 
Bila kusahau Sundar nina miaka 4 sasa naitumia na haina kwereeee
 
Asante sana kaka nitanunua zote rice cooker na pressure cooker
Sasa mkuu ukipata pressure cooker hiyo Rice cooker ya nini tena?
Pressure cooker inapika wali na vitu vingine karibia vyote vizuri kabisa
Mimi natumia PMC pressure cooker ni superb kabisa
 
Sasa mkuu ukipata pressure cooker hiyo Rice cooker ya nini tena?
Pressure cooker inapika wali na vitu vingine karibia vyote vizuri kabisa
Mimi natumia PMC pressure cooker ni superb kabisa
Asante sana kaka inauzwa sh ngapi?
 
Asante sana kaka. Pressure cooker nzuri ni ipi? Ni sh ngapi? Inapika vya Kula vyote?
Kama ni mutu ya familia chukua ya kilo 8 ,kilo 6 itakubana matumizi( from personal exp) bei ya kilo 6 inarange 120-130, kilo nane 150-160, ukienda kichwa wanakuanzia mia mbili. Mimi natumia brand ya Desine.
 
Asante sana kaka..by kilo sita or 8 what do u mean? Kwamba inakuwa na uwezo wa kupika kilo sita?
Vipi kuhusu umeme? Wa elfu 20 kwa mwezi unatosha?

Kuhusu mapishi inahitajika utaalamu wowote wa mpishi ili kiwe kinatoka chakula vizuri au ukitumiq kupikia inatoa chakula vizuri as long as umetumia pressure cooker?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…