Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

Msosi unatoka vizuri tu, mwanzo unaweza usiwe master sana ila kadri siku zitakabyoenda utazoea, vile vya kupiga huku umefunika mfuniko na ambavyo sio lazima,kama vya kukaanga
 
Msosi unatoka vizuri tu, mwanzo unaweza usiwe master sana ila kadri siku zitakabyoenda utazoea, vile vya kupiga huku umefunika mfuniko na ambavyo sio lazima,kama vya kukaanga
Asante sana mkuu. Ila wali unatoka vizuri kabisa hakuna cha kutoka na kiini au sijui kuwa haujaiva?
 
Asante sana mkuu. Ila wali unatoka vizuri kabisa hakuna cha kutoka na kiini au sijui kuwa haujaiva?
Vipimo vya kupima mchele na maji vipo,sufuria yake yenyewe ina vipimo vimeandikwa,ila kibongo bongo kwa kuwa mchele kihome hatupimi kwa mzani, vipomo vyake ni ngumu ku apply,tunachofanya ni ukiweka mchele wako weka maji pima na kidole cha kati mpaka maji yafikie mistari miwili ya kidole kutoka usawa wa mchele ulipoishia
 
Asante sana mkuu maana kupika wali kwangu imekuwa changamoto kweli kila nikipika naharibu so kama.kwenye pressure cooker kuna vipimo vyote basi kwangu itakuwa rahisi . Nanunuaga mchele kilo moja na nusu na nusu so kipimo tayari ninacho..
 
Kwenye gas na mkaa ulikuwa unakadiriaje maji?
 
Kwenye gas na mkaa ulikuwa unakadiriaje maji?
Sikuwa na kipimo maalumu kaka ndio maana nilikuwa nakosea kila.nikipaka ndo maana nataka ninunue rice cooker au pressure cooker ili niondokane na hilo tatizo
 
Sikuwa na kipimo maalumu kaka ndio maana nilikuwa nakosea kila.nikipaka ndo maana nataka ninunue rice cooker au pressure cooker ili niondokane na hilo tatizo
Ukitaka.kupika ili usikosee funga kitenge au kanga, ukipata dera.ndio unafotoa kitu cha ukweli,( just a joke) . Experiance inapatikana kwa kutenda jambo
 
Maharage yanaiva kwa dkk ngapi?
 
Tafuta pressure cookermtumba bei inaanzia 300000 mkataba maisha haiharibiki achana na michina ya hapo kariakoo miaka 3 ubora inaanza kufungua au kufa kabisa
 
Kuhus Bei nowdays yameshuka sana nimeona pressure cooker sio mdamrefu Kenwood inauzwa elf 90
 
mfano hii hapa electric pressure cooker.ambayo inapika mpunga,mandondo,nyama n,k.
👇

ina options ya kuset kulingana na chakula unachotaka kupika.
 
MATUMIZI YA RICE COOKER KWENYE UMEME WANDUGU YAPOJE ? UMEME WA 5000 UNAWEZA DUMU KWA SIKU 30 IKIWA RICE COOKER INATUMIKA MARA MBILI MCHANA NA USIKU ? RICE COOKER INA 1.8 L AND 700 WATTS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…