Msaada!sabuni gani nzuri kusafisha papuchi!!

Msaada!sabuni gani nzuri kusafisha papuchi!!

Ndani ya papuchi kuna normal flora wanaoishi kwa ajili ya afya ya sehemu husika hivyo wakizaliana kwa wingi ni shida japo hii inatokea mara chache napo ukitumia sabuni au dawa zinazoweza kuwaua unakaribisha maambukizi mengine ukeni kwani unakuwa umeondoa ulinzi hivyo nakushauri usafishe kawaida na sabuni ya kawaida hata ya magadi na utakuwa msafi na hutokuwa na maambukizi ya aina yoyote ile.
 
Sivibaya kutoa maoni ila hili niswala la msingi sana ambalo mwenzetu katuuliza kauriza ni sabuni gani atumie japo haya maji ya uvuguvugu yanafaa ila tunapofikia swala la sabuni za dawa ni la hatari sana sio tu kwa papuchi ila hata kwa mwili kama mtu atafanya hizo sabuni kua ndo zakutumia ktk maisha yake Medicated ni sabuni yenye dawa ipo kwa ajiri ya mwenye madhala ktk ngozi
 
khaa mkuu!!

Vip, kwema lakin? C anataka papuchi ing'ae? Hyo ndo kiboko!

ila sijui kwanin mlete mada anataka kujua sabun nzur ya kuosha kitu chake..just anataka sabun tu? Au papuchi yake ina namna hivi ila ameshindwa funguka so anakuja leta habari ya sabuni?
 
Shower gel ama sabuni yoyote ya kuogea. Kama una mwili sensitive kama wangu kuwa mpole tu. Achana na hizo makitu.
Mmmmhh mi hta sijui best coz hii kitu inanichanganya sana!wewe unatumia sabun gan?
 
Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa feminine! Sasa wadau nisaidienien ipi nzuri ambayo haina madhara yoyote!
Nakushauri utafute sabuni zenye low pH around 3,5 sijui kwa huko zipi ni nzuri lkn sabuni hizi zinakuwa hazina mapovu mengi na zipo very mild.. zinategenezwa rich in bacterias(normal flora) that u have in your private areas including lactic acid producing bacterias..hazina madhara yoyote na zinakusaidia kuepuka kupata fungus and other infections...
 
Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa feminine! Sasa wadau nisaidienien ipi nzuri ambayo haina madhara yoyote!

Ukisoma mitandao mingi unashauriwa USITUMIE SABUNI YOYOTE. Ni maji tu yanatosha kabisa. Sabuni zote ni madawa na hivyo huua wadudu. Papuchi huwa haichafuki hivyo Maji tu yanatosha.
 
Foma changanya na jivu kisha utie chumvi,fanya wiki 1 utaona jinsi itakavyonukia na kuwa mnato

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahahahaaha!mkuu unamdanganya mwenzako akajidhuru.me ameniua na title yake "KAPUCHI",mwanzo sikuelewa alichomanisha..kweli JF pazuri.hahaha
 
Lactacyd-feminine hygiene
Nayo nzuri, imethibitishwa na gynos

Hii ndo haifai kabisaaa. Inanukia vizuri lakini ni kali. Ilinifanya niende hospital kabisa nikataka kumnyonga paw, nilijua keshaharibu.

Kama unajua mild soap (sabuni yoyote isiyo antibacterial na isiyo na harufu kali) inatosha. Raha ya samaki shombo kwa mbaali!
 
Haswaaaa. Nilisikia hiyo mambo siku nyingi kdg kwenye kimasomaso BBC
Papuchi haioshwi na sabuni!
Uoshaji wa papuchi na sabuni huondoa wadudu wasio na madhara na hivyo kusababisha magonjwa ya fungus na mengineyo!
 
tumeongea sana hii kitu siongei tena
tafuta kampuni ya usafi...period
 
aiseeeee babayangu kwanini usiende car wash wakaipige maji. au tumia maji ya betri
 
Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa feminine! Sasa wadau nisaidienien ipi nzuri ambayo haina madhara yoyote!

shosti asikudanganye mtu hii mi sabuni si mizuri osha na sabuni ya kawaida unayoo ogea hata mbuni, na hakikisha hauingii deep sana na maji safi bariidi nayo itakuwa freesh
 
Lol. Mie nareact kwa haya masabuni (afu yanapunguza utamu, lol) Riwa na Roulette walishauri hapa inatakiwa maji tuuu, lakini kama una obssessions zako basi mild soap is better kama hautumii shower gel.

My gynae says the same. Im serious, nilitumia hiyo femfresh na nilienda hosp kabisa huku nimempania paw. Yaani staki hata kukumbuka, i was irritated all the time.
Lactacyd-feminine hygiene
Nayo nzuri, imethibitishwa na gynos
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom