Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
khaa mkuu!!
Mmmmhh mi hta sijui best coz hii kitu inanichanganya sana!wewe unatumia sabun gan?
Nakushauri utafute sabuni zenye low pH around 3,5 sijui kwa huko zipi ni nzuri lkn sabuni hizi zinakuwa hazina mapovu mengi na zipo very mild.. zinategenezwa rich in bacterias(normal flora) that u have in your private areas including lactic acid producing bacterias..hazina madhara yoyote na zinakusaidia kuepuka kupata fungus and other infections...Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa feminine! Sasa wadau nisaidienien ipi nzuri ambayo haina madhara yoyote!
Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa feminine! Sasa wadau nisaidienien ipi nzuri ambayo haina madhara yoyote!
Foma changanya na jivu kisha utie chumvi,fanya wiki 1 utaona jinsi itakavyonukia na kuwa mnato
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ila ukitumia pilipili iliyochanganywa na chumvi safi sana
Hii ndo haifai kabisaaa. Inanukia vizuri lakini ni kali. Ilinifanya niende hospital kabisa nikataka kumnyonga paw, nilijua keshaharibu.
Kama unajua mild soap (sabuni yoyote isiyo antibacterial na isiyo na harufu kali) inatosha. Raha ya samaki shombo kwa mbaali!
Lactacyd-feminine hygiene
Nayo nzuri, imethibitishwa na gynos
Papuchi haioshwi na sabuni!
Uoshaji wa papuchi na sabuni huondoa wadudu wasio na madhara na hivyo kusababisha magonjwa ya fungus na mengineyo!
Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa feminine! Sasa wadau nisaidienien ipi nzuri ambayo haina madhara yoyote!
Lactacyd-feminine hygiene
Nayo nzuri, imethibitishwa na gynos